Hatimaye Harmonize ajibu tuhuma zinazomuandama za kumtongoza na kumtumia picha za utupu Paula

Sarah chombo ya Vannyboy , mnyama kapiga Sana pale mix na mwarabu fighter , ikabidi konde boy mtu mbadi asanue😀😂
😂😂😂mm kwenye maisha siwezi kujiaminisha kwa jinsia inayoitwa ke, Miaka ya nyuma 2000 yalinikuta ya namna hii. Baada ya kuwavimbia masela na demu wangu na bifu kubwa. Miezi michache baadae nikawa jeshi la mtu mmoja huku malaya wangu kashatekwa upande wa pili naye akishiriki njama za kuniangusha.😂😂
 
Na ndo kajala pia kamfanyia Harmonize 😀😂 we mpak mi video ya utupu tupu demu kawapa adui zake 🤣 usimwamini mwanamke hata sku moja , cha msingi ni kutimiza majukum tu basi ..... Kondeboy mpak anajilaumu kumwacha sarah
 
kwa uwongo wee m2 upo vizuri, huyo vanny wako hata hajadate na Sarah, khaaaaaaaah
Ndo mana demu wake wanamnaniiiiiiiiiiii( wangapi)..... Bifu Ka vannyboy na mmakonde limeanzia mbali mpenzi , mbna haihtajiki code yyte kujua .......
 
Ndo mana demu wake wanamnaniiiiiiiiiiii( wangapi)..... Bifu Ka vannyboy na mmakonde limeanzia mbali mpenzi , mbna haihtajiki code yyte kujua .......
Najua sana ila sio Sarah kudate na vanny lol.
 
Na unaweza kushangaa Paula ndo akaja kufanikiwa kuliko huyo mwandishi wa makaratasi ..... Mungu bhana 😂 haelewekagi ......!!!
Kwako maana ya kufanikiwa ni nini? kwa wengine sio kuonekana kwenye tv wala kumiliki Bugatti Chiron bali kuibadili dunia....!
 
Mtoto anaandika kitabu chenye title, change your life, wakati yeye hajui hata life ni nini zaidi, ya kuamshwa, kunywa uji na kwenda na kurudi shule na kuangalia cartoon.

Maigizo na usanii hautaisha bongo.
Mastaa wanataka watoto wao wawe mastaa na wanaojulikana.
Magufuli nilimpendea hicho tu, watoto wake hawakuwa sehemu ya hizo comedy za mitandaoni.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
kwahiyo Sarah ni dampo Yani yuko available muda wote kwa harmonize? Sinasikiaga ngozi nyeupe kwa msimamo siyo mchezo ngoja tuone.
Do you think Sara hamegwi- !? Na harmo hajawahi kumjua Anaye mmegea!? Kuna ai na hiyo ya mahusiano now days !? Expecialy kwa mastar!?

Hapo kinacho tazamwa ni Mtu mwenye nafuu ya makando kando na sio Malaya ile totally
 
Hyo baby ulivyoitaja nimevuta pumzi mpak kwenye unyayo (Wasafi classic beibeeee) wababe wa bifu mjini , washafight na akina Davido huko.... Na Kwa taarifa Tu mtu wako kuna video yake ya ngono live live ipo kwenye galley pale next level music ....inasubiririwa perfect time to strike....
Hicho kichwa chako ni Tanki la mate.?
 
Do you think Sara hamegwi- !? Na harmo hajawahi kumjua Anaye mmegea!? Kuna ai na hiyo ya mahusiano now days !? Expecialy kwa mastar!?

Hapo kinacho tazamwa ni Mtu mwenye nafuu ya makando kando na sio Malaya ile totally
Sasa hii ya harmonize na Sarah ni tofauti kidogo mkuu sijui tupo pamoja hapo, ingawa kurudiana inawezekana ila siyo kirahisi hivyo.
 
Back
Top Bottom