Hatimaye Harmonize ajibu tuhuma zinazomuandama za kumtongoza na kumtumia picha za utupu Paula

ngoja tuone mwisho wake, ila kwa yeyote anayetumia akili hili zengwe limeundwa/engineered by WASAFI..itakua kama East and West groups wanavyochukiana mpaka kuuana.....upuuzi mtupu mnaoufanya wasafi clasic baby.....
Mm naomba ni tofautiane na wewe kidogo. Harmo na Kajala walikuwa deep in love, umejiuliza inawezekanaje leo hii Kajala awe msaliti tu bila sababu. Harmo alianza haya mambo ya magazine mwenzie alipokutwa na matatizo pamoja na kupigia simu viongozi, akishinikiza hukumu dhidi ya rayvan.

Rayvany siyo malaika mpaka leo hii ashindwe kulipa pale alipoona fursa ya kufanya hivyo ipo. Lakujifunza tujifunze kukaa kimya tusipende kushadadia ya watu ilihali hatujui na sisi kesho tutaangukia wapi.
 
Si wanataka kutuaminisha mtoto ni kichwa kama babake rip..haha.
Ni upuuzi, angeandika comic book, yenye mambo yanayoreflect umri wake, huyo mtoto angekuwa ni wale waliopitia maisha magumu, tungesema labda inawezekana, ila hii ni uongo uliopitiliza, au basi angeandika yule kijana mkubwa wa marehemu au hata Nandy basi.
From preacher's daughter to creatures' life.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Hilo kundi lina mambo ya ajabu sana mwanzo nilikuwa nalikubali sana sahiv.naanza.ku lose interest nao.badala ya kupambana na muziki bado wanahangaika na yule mmakonde


Yaani tz tunapenda udaku sana
Ww ndiyo umeshindwa kufocuz na mziki wao badala yake maisha yao. Hivi karibuni mboso rayvany na lavalava wameachia album. Na video wanarelease kila uchwao. Hata ningekuwa mm lazima ningesubir anguko la adui yangu halafu napigia msumari hapo hapo. Hakuna cha kutenda wema kwa ubaya, ni ubaya kwa ubaya tu baada ya hapo tunakutana madhabauni kutubu dhambi zetu.
 
Pigeni mziki acheni uduanzi, wangapi wanaongea ongea na hamuwatengenezei video fake?
Hao wanaongea bila madhara lakini kitendo alichokifanya harmonize kingeleta madhara kwa mwenzie. Yan unapataje ujasir wa kutafuta hadi viongozi akishinikiza hukumu dhidi ya mwenzie. Ili hadi kina nay wa mitego walimuona mtu wa ajabu. Najua mapenz yako kwa harmo yana nguvu sana kiasi kwamba hata ujinga wake unashindwa kuona.

Ila haya ni malipo ya alichokipanda na trend itaenda hivi hivi likitokea anguko fulani dhidi ya makundi haya mmoja atatumia Kama fursa, mpaka pale watakapoamua kukua na kuacha unafiki. Mm nilishaachaga kufikiria kwa moyo sikuiz ndiyo maana katika kutambua ujinga ni wa nani hainipi shida.
 
Hyo baby ulivyoitaja nimevuta pumzi mpak kwenye unyayo (Wasafi classic beibeeee) wababe wa bifu mjini , washafight na akina Davido huko.... Na Kwa taarifa Tu mtu wako kuna video yake ya ngono live live ipo kwenye galley pale next level music ....inasubiririwa perfect time to strike....
unavojipaga hopes kumbe hollah lol.
 
Yeah hata Mange kamueleza hivyo pia , na kamwambia kuwa kajala alikuwa ameshasahaulika Mjini ila mahusiano yao ndio yamemfanya watu kumkumbuka , so kajala alikuwa ana tembelea nyota yake tu , kamshauri arudiane na mkewe Sarah
kwahiyo Sarah ni dampo Yani yuko available muda wote kwa harmonize? Sinasikiaga ngozi nyeupe kwa msimamo siyo mchezo ngoja tuone.
 
kwahiyo Sarah ni dampo Yani yuko available muda wote kwa harmonize? Sinasikiaga ngozi nyeupe kwa msimamo siyo mchezo ngoja tuone.
Sarah chombo ya Vannyboy , mnyama kapiga Sana pale mix na mwarabu fighter , ikabidi konde boy mtu mbadi asanue😀😂
 
Back
Top Bottom