Hatimaye Gwakisa Mwakasendo ajisalimisha CCM

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,167
402
Kila goti litapigwa mbele ya CCM, hatimaye bwana mdogo tuliyesoma nae shule moja Gwakisa Mwakasendo amesalimisha maisha yake kwa CCM.

Sijampata kumuuliza kapokea ngapi? Lakini ameahidiwa kupewa jimbo la Mbeya kwa Sugu agombee ili amtoe Sugu. Ngoja tusubiri.
 
Kila goti litapigwa mbele ya c.c.m, hatimae bwana mdogo tuliyesoma nae shule moja gwakisa mwakasendo amesalimisha maisha yake kwa c.c.m. Sijampata kumuuliza kapokea ngapi? Lakini ameahidiwa kupewa jimbo la mbeya kwa sugu agombee ili amtoe sugu. Ngoja tusubiri.
ndio mdudu gani huyo! Fafanua si wote tunamfahamu.
 
Kila goti litapigwa mbele ya CCM, hatimaye bwana mdogo tuliyesoma nae shule moja Gwakisa Mwakasendo amesalimisha maisha yake kwa CCM.

Sijampata kumuuliza kapokea ngapi? Lakini ameahidiwa kupewa jimbo la Mbeya kwa Sugu agombee ili amtoe Sugu. Ngoja tusubiri.

weka picha
 
Naona vifaranga wametangulia,mama yao MM naye yupo njiani na nawasikitikia sana wale wafuasi wake waliokimbilia kile chama cha wasaliti kumbe yeye aliwahadaa na mpango wake ni kujisajili magambani kwa mkopo
 
Kila goti litapigwa mbele ya CCM, hatimaye bwana mdogo tuliyesoma nae shule moja Gwakisa Mwakasendo amesalimisha maisha yake kwa CCM.

Sijampata kumuuliza kapokea ngapi? Lakini ameahidiwa kupewa jimbo la Mbeya kwa Sugu agombee ili amtoe Sugu. Ngoja tusubiri.

Gwakisa Mwakasendo nina share vinasaba naye. Lakini baado sana kwenye siasa.
 
Kila goti litapigwa mbele ya CCM, hatimaye bwana mdogo tuliyesoma nae shule moja Gwakisa Mwakasendo amesalimisha maisha yake kwa CCM.

Sijampata kumuuliza kapokea ngapi? Lakini ameahidiwa kupewa jimbo la Mbeya kwa Sugu agombee ili amtoe Sugu. Ngoja tusubiri.
Kaka wewe ulipohamia ACT ulipewa ngapi vile nimesahu tukumbushe tena.
 
wache watoke chadema wamestuka uchaguzi wa chama hapo walisimamia vijitajiri wachaga wa hapo na safu nzima wamewaweka wachaga isipokuwa mwenyekiti tu
 
pumba.
sasa habari za schoolmate wako zinatuhusu nini?
mpuuzi wewe.

Kila goti litapigwa mbele ya CCM, hatimaye bwana mdogo tuliyesoma nae shule moja Gwakisa Mwakasendo amesalimisha maisha yake kwa CCM.

Sijampata kumuuliza kapokea ngapi? Lakini ameahidiwa kupewa jimbo la Mbeya kwa Sugu agombee ili amtoe Sugu. Ngoja tusubiri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom