Tunasubiri ya Ntwara, hii ya UAE bado iko juu. Ya Ntwara itauzwa kwa nusu ya hiyo mpya ya kwako labda mafisadi waingilie! Sasa hivi ni shoka na pori mpaka kieleweke.
teh teh tehBraza, Mara hii umeshafika Desemba 2014 wakati sisi bado tunajikongoja na Januari?