Haishangazi kuona wahitimu wenye kiwango cha chini wakiongezeka kama wahadhiri wenyewe ndio wenye uelewa huu!Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .
Utafikiri tumelaaniwa, huyu kesho unaweza kumkuta Tanesco. Hajui mbele ni wapi na nyuma ni wapi?Haishangazi kuona wahitimu wenye kiwango cha chini wakiongezeka kama wahadhiri wenyewe ndio wenye uelewa huu!
Mkuu kweli kabisa.Sio kila mhadhiri anaakili hata proffessor Li alikuwa mhadhiri chuo kikuu
Halafu nipashe nayo imekuwa ya hovyo sana.Nao waandishi wanandika huu ujinga.Sasa kwanini hela ikopeshwe serikali kwanza na si wananchi directly?Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .
Kwenye?Anatafuta kuteuliwa
Serikali inakudalalia imekopa kwa niaba yako kama vile wewe huwezi fika bank.Oh.Hapana inapigana vikumbo na wewe kupata kiasi kidogo cha mkopo wa bank.Serikali ilipofunga account ikatumbua hela na kufulia.Sijui itaanza lini,mfukoni jua kali balaaa!!!
Vigeregere basi jamani ....... !!! mbona kimya na hela mmerudishiwa ?
Unaambiwa hata ule uongo wa mapato ya TRA ya kila mwezi kimyaaaaaa !!!!Serikali inakudalalia imekopa kwa niaba yako kama vile wewe huwezi fika bank.Oh.Hapana inapigana vikumbo na wewe kupata kiasi kidogo cha mkopo wa bank.Serikali ilipofunga account ikatumbua hela na kufulia.
Hiyo ni fyokofyoko mkuu .Mabenki wasiwape
Kunawakati wasomi wetu ni janga kuliko kawaida wasomi badala ya kupeleka ushauri namna ya kunusuru uchumi anashangilia serikali kukopa
Elimu haina mwisho ila mawazo ya binadamu yana ukomo nae huyu msomi wetu mawazo yake ndo yalipo ishia
Wanazikomba zote wanazitoa benki binafsi na kuzipeleka benki kuu.Imekuwaje tena nje hatukopesheki! au umeshaingia katika sifa ya kundi lisilokopesheka.
Nahisi kama tunaingia kwenye joto zaidi,mzunguko wa fedha hivi sasa umekuwa mgumu baada ya serikali kuamuru taasisi zake kuhifadhi fedha hazina na hivyo kuzuia kuingia kwenye mzunguko na sasa hizo zilizobaki wanazikopa kisha wanaenda kuzihifadhi hazina.
USISHANGAE MTU KAMA HUYU ANATAFUTA KICK YA KWENDA KUGOMBEA KWENYE CHAMA CHAO HUU SIO NDIYO MWAKA WA UCHAGUZI NDANI YA LICHAMA LAOMpuuzeni Huyu Naye