umelikoroga lazima ulinywe na ukileta za kuleta kusutwa tu ndio dawa muulize mwenzako yaliomkuta mpaka akahama mtaaNajua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop
Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat
beibe nasty mwambie huyo naona alikua hajuiMtoto wakike kusutwa sunna babu wee
Bora sijatajwa naendelea na libeneke langu hapa
My wife wangu Yummy uko wapi njoo hutu tule raha
Bora sijatajwa naendelea na libeneke langu hapa
My wife wangu Yummy uko wapi njoo hutu tule raha
Najua Madame B ila pigeni umbea kiasi lol
Sasa hivi niko nacheck Pm zenu tu
hahaha itakayonivunja mbavu naiweka laivu
Ukinipa hongo mbona mi sina nomaMbona sasa unataka kwenda ndivyo sivyo?
Utatupiaje Pm zetu bhana?
We Chalii vp?
Ila u-Mods ukiupata,wallah tutapigwa Mi-Ban hinhaa!!
mtotowamjini naweza kuji control. dawa nizungukwe na wavulana tu sio wanaume.:happy: imaginations ni tofauti na kujuana kama nyie hapa...kuna watu mpaka washakutana...mi sijawahi kutana na any of JF members. inabidi kue na house party flani, tatizo ni kua sex engine is soo high inabidi tukutafutie LUKU
naona umerudia mara mbili kwa msisitizo
Yummy hebu kuja pande hizi umuangalie huyu mtu anataka kuharibu ndoa yetu kisa eti yeye kawa mod anataka kila mwanamke awe wake
Cute mamyyy hebu nipe busu basi Erickb52 apate wivu ajinyonge kwa bigjee
Sweetlady mzima wewe
Shikamooo