Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,554
Reaction score
11,485
Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop

Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat
 
Last edited by a moderator:
mtu mzima sitishiwi nyau.. ka paw na invisible wamenshindwa ndo uje wew Erickb52
 
Last edited by a moderator:
heheheeeeiiiiyaaaaaaaaaaaa.............

Mod utakuwa wewe?

Halafu hujui mumw wangu Buchanan? Atakudhibiti...
 
Last edited by a moderator:
Wee Mod, hebu nifungulieni Jukwaa la Wakubwa Haraka sana.. Tangu jana silioni.
Isijekuwa huto tupicha tumewadanganya mkafikiri mimi ni anda eji... Ebo!!
 
Halohaloooo....najua kinachokutamanisha kuwa Mod ni kusoma PM zetu.....unalo hlo.
 
mh.mabwaku jooob true true! una hamu na ngoma weye halooooo o o o o o o . . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom