Ruyama
JF-Expert Member
- Sep 6, 2019
- 367
- 561
Radio zipo ngapi mkuu?Kumekucha Dstv naona wameshusha vifurushi sasa ni 9000 tu kwa mwezi
Kifurushi hicho kinajulikana kama dstv poa kikiwa na channel zaidi ya 40
Wakati huo huo Azam wana cha 8000 channel zaidi ya 50
My take: Mwisho wa Startimes unakuja hakika wenzao wanashusha wao wanakimbilia hadi kifurushi cha chini 22000 huko.....