Wizi unaozidi kufanywa na Startimes kupitia vifurushi naombeni TCRA mulitizame hilo

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Umekuja mtindo mpya wa wizi unaofanywa na kampuni ya Kichina ya StarTimes hadi kero.

Sasa hivi wengi wanaibiwa sana unalipa kifurushi cha mwezi kinakaa siku 7 tu

Unalipa kifurushi cha siku usiku wa saa 3 kinaisha asubuhi saa 5 huu wizi umethiri jamani naomba serikali iwachukulie hatua hawa watu wamezidi khaaa!

Hii ni mara ya pili wananiibia tena ukipiga hupewi msaada wowote ule zaidi ya visababu vya kijinga tu

Hebu fikiria unalipia shilingi 21000 cha mwezi halafu kinakaa siku 7 tu!

Hebu fikiria unalipia cha 36000 kinakaa siku 7 tu kinakatwa daaah.

Kazi yao ni kupandisha vifurushi hovyo hovyo tu bila utaratibu miaka miwili tu washapandisha vifurushi mfano cha nyota 4000 mwaka juzi leo hii ni 9000.

Cha dish nyota 6000 hadi 11000 ndani ya miaka miwili tu washafika huku wakati wenzao wanapunguza wao ni kupanda tu huku huduma zikiwa ni mbovu na wezi wa vifurushi!

Nimeboeka sana nalitupa kopo lenu huko ninunue azam au zuku nishachoka wizi....
 
Umekuja mtindo mpya wa wizi unaofanywa na kampuni ya Kichina ya Star Times hadi kero

Sasa hivi wengi wanaibiwa sana unalipa kifurushi cha mwezi kinakaa siku 7 tu

Unalipa kifurushi cha siku usiku wa saa 3 kinaisha asubuhi saa 5 huu wizi umethiri jamani naomba serikali iwachukulie hatua hawa watu wamezidi khaaa!!!

Hii ni mara ya pili wananiibia tena ukipiga hupewi msaada wowote ule zaidi ya visababu vya kijinga tu

Hebu fikiria unalipia shilingi 21000 cha mwezi halafu kinakaa siku 7 tu!!!!

Hebu fikiria unalipia cha 36000 kinakaa siku 7 tu kinakatwa daaah

Kazi yao ni kupandisha vifurushi hovyo hovyo tu bila utaratibu miaka miwili tu washapandisha vifurushi mfano cha nyota 4000 mwaka juzi leo hii ni 9000

Cha dish nyota 6000 hadi 11000 ndani ya miaka miwili tu washafika huku wakati wenzao wanapunguza wao ni kupanda tu huku huduma zikiwa ni mbovu na wezi wa vifurushi!!!!!

Nimeboeka sana nalitupa kopo lenu huko ninunue azam au zuku nishachoka wizi....
Dstv hapa tunadunda tu
 
Umekuja mtindo mpya wa wizi unaofanywa na kampuni ya Kichina ya StarTimes hadi kero.

Sasa hivi wengi wanaibiwa sana unalipa kifurushi cha mwezi kinakaa siku 7 tu

Unalipa kifurushi cha siku usiku wa saa 3 kinaisha asubuhi saa 5 huu wizi umethiri jamani naomba serikali iwachukulie hatua hawa watu wamezidi khaaa!

Hii ni mara ya pili wananiibia tena ukipiga hupewi msaada wowote ule zaidi ya visababu vya kijinga tu

Hebu fikiria unalipia shilingi 21000 cha mwezi halafu kinakaa siku 7 tu!

Hebu fikiria unalipia cha 36000 kinakaa siku 7 tu kinakatwa daaah.

Kazi yao ni kupandisha vifurushi hovyo hovyo tu bila utaratibu miaka miwili tu washapandisha vifurushi mfano cha nyota 4000 mwaka juzi leo hii ni 9000.

Cha dish nyota 6000 hadi 11000 ndani ya miaka miwili tu washafika huku wakati wenzao wanapunguza wao ni kupanda tu huku huduma zikiwa ni mbovu na wezi wa vifurushi!

Nimeboeka sana nalitupa kopo lenu huko ninunue azam au zuku nishachoka wizi....
Mkuu nina siku nyingi sana sijalipia startimes mimi imepita miezi kama mitatu now nina cha Antenna! Nilikuwa nalipia kwa mwezi 18000 na kinafika mwezi kinaisha ila sahivi hali mbaya nimeacha kulipia! Now ila kuna channel baadhi naangalia

Sio za kulipia ni bure tu
 
Ndio

Kweli mkuu.hata mimi natafakari namna ya kuwahama.bei zao ni kubwa chanel ni zile zile tuuu
 
Mi nina startimes ya antena sijailipia kama miaka mitatu iliopita natumia Dstv
Uzuri wao ni kwamba TBC 1, ITV, EATV Star, Tv, Channel 10, Clouds, Safari Tv Upendo Tv na Tumaini Tv unazipata free
Dstv wana za kibongo TBC Clouds na Wasafi

Nakushauri hamia Dstv kisha iache Startimes kwa ajili ya chaneli za kibong
 
Sawa sawa
Mi nina startimes ya antena sijailipia kama miaka mitatu iliopita natumia Dstv
Uzuri wao ni kwamba TBC 1, ITV, EATV Star, Tv, Channel 10, Clouds, Safari Tv Upendo Tv na Tumaini Tv unazipata free
Dstv wana za kibongo TBC Clouds na Wasafi

Nakushauri hamia Dstv kisha iache Startimes kwa ajili ya chaneli za kibong
 
Umekuja mtindo mpya wa wizi unaofanywa na kampuni ya Kichina ya StarTimes hadi kero.

Sasa hivi wengi wanaibiwa sana unalipa kifurushi cha mwezi kinakaa siku 7 tu

Unalipa kifurushi cha siku usiku wa saa 3 kinaisha asubuhi saa 5 huu wizi umethiri jamani naomba serikali iwachukulie hatua hawa watu wamezidi khaaa!

Hii ni mara ya pili wananiibia tena ukipiga hupewi msaada wowote ule zaidi ya visababu vya kijinga tu

Hebu fikiria unalipia shilingi 21000 cha mwezi halafu kinakaa siku 7 tu!

Hebu fikiria unalipia cha 36000 kinakaa siku 7 tu kinakatwa daaah.

Kazi yao ni kupandisha vifurushi hovyo hovyo tu bila utaratibu miaka miwili tu washapandisha vifurushi mfano cha nyota 4000 mwaka juzi leo hii ni 9000.

Cha dish nyota 6000 hadi 11000 ndani ya miaka miwili tu washafika huku wakati wenzao wanapunguza wao ni kupanda tu huku huduma zikiwa ni mbovu na wezi wa vifurushi!

Nimeboeka sana nalitupa kopo lenu huko ninunue azam au zuku nishachoka wizi....
TCRA wana utaratibu wa kupokea malalamiko kama haya yako. Watumie. Sidhani kama hapa ujumbe utawafikia. Tuma kwenye pepe yao malalamiko@tcra.go.tz au dg@tcra.go.tz weka ushahidi wakusaidie badala ya kulia hapa hutapata suluhisho. Issue yangu walinisaidia hadi kesho tatizo liliisha.
 
Mimi tangu baada ya kuona huo wizi nimeacha kulipia. Cha Ajabu Chanel ya bure wanayoruhusu nipate ni TBC tu. Nyingine zote zinaniandikia card error.

Hata sijui zile chaneli nyingine za bure sistahili au la.

Hawa Jamaa wanaelewa wenyewe wanachokifanya.
 
Dstv ukilipa hadi siku 30 zipite, ila startimes wapiga pesa kama MB za voda tu, apo unapenda st swahili tu ndo inakutesa, pole sana
 
Mimi tangu baada ya kuona huo wizi nimeacha kulipia. Cha Ajabu Chanel ya bure wanayoruhusu nipate ni TBC tu. Nyingine zote zinaniandikia card error.

Hata sijui zile chaneli nyingine za bure sistahili au la.

Hawa Jamaa wanaelewa wenyewe wanachokifanya.
Chaneli za free za kibongo utazipata kwenye king'amuzi cha Startimes cha antena na sio cha dish
 
Back
Top Bottom