Hatimaye Dstv washusha vifurushi sasa ni Tsh 9,000 DSTV Poa

Kumekucha Dstv naona wameshusha vifurushi sasa ni 9000 tu kwa mwezi

Kifurushi hicho kinajulikana kama dstv poa kikiwa na channel zaidi ya 40

Wakati huo huo Azam wana cha 8000 channel zaidi ya 50

My take: Mwisho wa Startimes unakuja hakika wenzao wanashusha wao wanakimbilia hadi kifurushi cha chini 22000 huko.....
Radio zipo ngapi mkuu?
 
Machanel ya Hovyo hovyo kwenye icho Kifurush, Bila Nat Geo World na Chanel 160 ni Utopolo
Hizi channel zote ukiwa location nzuri unazipata Free to air , sema tu madish yatakuwa mengi .
Kumekucha Dstv naona wameshusha vifurushi sasa ni 9000 tu kwa mwezi

Kifurushi hicho kinajulikana kama dstv poa kikiwa na channel zaidi ya 40

Wakati huo huo Azam wana cha 8000 channel zaidi ya 50

My take: Mwisho wa Startimes unakuja hakika wenzao wanashusha wao wanakimbilia hadi kifurushi cha chini 22000 huko.....
 
Dstv walinipigia jana wakiuliza kama kuna changamoto naipata, niliwaambia kupandishapandisha bei inakera kutoka 19900 sasa hivi ni 21000, hicho cha 9000 hakia chanel za maana. Walisema uendeshaji umekuwa gharama ndo maana wakapandisha.wanakera
 
Hicho cha buku 9 hakina channel za maana
 
Dstv walinipigia jana wakiuliza kama kuna changamoto naipata, niliwaambia kupandishapandisha bei inakera kutoka 19900 sasa hivi ni 21000, hicho cha 9000 hakia chanel za maana. Walisema uendeshaji umekuwa gharama ndo maana wakapandisha.wanakera
Hee washapandisha to 21,000? Lini hiyo
 
Back
Top Bottom