Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,115
- 939
Ndiye mimi niliyetangaza matokeo kwa mujibu wa CUF, kama Maalim alipotangaza kwa mujibu CUF na ndipo Jecha akafuta matokeo.
Tujifunze kutii mamlaka halali, mamlaka pekee yenye uhalali wa kutangaza matokeo ni ZEC, sio Channel Ten, sio Maalim Seif. Hili la CUF kushinda na kupokwa ushindi, nimelisema sana humu, kuwa kama ni kweli CUF huwa inashinda lakini haipewi, nini ambacho kingeifanya CUF ikishinda safari hii ipewe?!. Ukiwa unaingia vitani bila kuelewa nguvu za mpinzani wako, usilalamike ukila kipigo!. Kama ni kweli kuwa siku zote CUF wanashinda, lakini ZEC haiwatangazi, na badala yake wanaipa CCM ushindi, jee unazijua sababu?!, sasa CUF ikikubali kuingia kwenye uchaguzi, bila kujua sababu kwa nini wanapokwa, then bila kudeal na sababu, wataendelea kupokwa!.
Nisome hapaJee Kuna Uwezekano Siku Zote Huwa Hazitoshi, Bali Zinatosheshwa!.
Pasco
Duh! Eti kwa mujibu wa CUF, kweli wewe ulitangaza matokeo kwa kufata ueledi wa kazi yako?
"ukuitendea haki taaluma yako "