Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Mimi naamini kura milioni tatu za jiji la dar ess salaam zitaenda kwa Lissu milioni mbili,na huku mh Magufuli akiambulia laki nane...gap litaanzia hapo

Kanda ya ziwa mara,kagera,mwanza,simiyu Ni ngoma droo kwa hawa wawili.
Ccm ishakata pumzi
 
Korosho kangomba hawana chao, juxi kati wawekezaji kutoka Marekani wamekuja kuona jinsi watakavyo wekeza. Ni suala la kitambo si kirefu mambo yatakuwa bambam. Ingawaje nasikia kumekuwa na magaidi wanaotaka kutunisha misuli yao huko.
Na hao tayari washafanya yao na sasa ni vilio tu
 
Back
Top Bottom