Sasa mnaogopa magaidi,zile nguvu za kuwapiga wapinzani zihamishieni kule
Ccm ishakata pumziMimi naamini kura milioni tatu za jiji la dar ess salaam zitaenda kwa Lissu milioni mbili,na huku mh Magufuli akiambulia laki nane...gap litaanzia hapo
Kanda ya ziwa mara,kagera,mwanza,simiyu Ni ngoma droo kwa hawa wawili.
Wewe mwenyewe ni mshirika
Korosho kangomba hawana chao, juxi kati wawekezaji kutoka Marekani wamekuja kuona jinsi watakavyo wekeza. Ni suala la kitambo si kirefu mambo yatakuwa bambam. Ingawaje nasikia kumekuwa na magaidi wanaotaka kutunisha misuli yao huko.
Na hao tayari washafanya yao na sasa ni vilio tuKorosho kangomba hawana chao, juxi kati wawekezaji kutoka Marekani wamekuja kuona jinsi watakavyo wekeza. Ni suala la kitambo si kirefu mambo yatakuwa bambam. Ingawaje nasikia kumekuwa na magaidi wanaotaka kutunisha misuli yao huko.