Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,685
- 7,700
Kumbuka ulivyo mdhalilisha yule dogo uliyekuwa naye ktk nyakati ngumu kisa ulimpata huyo boss kabla ya kumuombea mabaya.Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked.
Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Wabaya kivipi madame?Wabaya ndo tunaolewa cute
Kwa mawazo haya naona huyo jamaa yuko sahihi kwa uamzi aliofanya.Si mnakua mshajuchokea kwa kukitonbesha kila sehemu mnaamua kuambulia tu popote tu ilimradi uonekane umeoa kama fashion
Kwakuwa wewe ni mhuni basi unaweza kuchora ramani na kuotoa kwa wahuni wenzio ili wamfanyie uhuni mwanamke mwenzio ambaye huenda hata hajui kama mlikuwa mkifyonza kwa kutumia mrija mmoja.Eti wife material
Tutaona iyo ndoa itakapofikia am here watching
Yani nitafunga na kumuomba Mungu ajibu maombi yangu.
Anhaa Basi kama mm nilikua chaps ilale tutaona yatakayojiri kwa uyo malaya alieolewa atakuja kugongwa na wahuni
Unataka mungu ajibu roho yako mbaya ya husuda na chuki dhidi ya huyo boss wako??punguza uchawi mbona wanaume wapo wengi tu ukiachwa achika simple tuEti wife material
Tutaona iyo ndoa itakapofikia am here watching
Yani nitafunga na kumuomba Mungu ajibu maombi yangu.
Anhaa Basi kama mm nilikua chaps ilale tutaona yatakayojiri kwa uyo malaya alieolewa atakuja kugongwa na wahuni
Kama ni mkristo, mungu wa namna hii hayupo upande wa wakristo labda ujaribu imani nyingine maana tumeambiwa tusamehe 7X70.Eti wife material
Tutaona iyo ndoa itakapofikia am here watching
Yani nitafunga na kumuomba Mungu ajibu maombi yangu.
Anhaa Basi kama mm nilikua chaps ilale tutaona yatakayojiri kwa uyo malaya alieolewa atakuja kugongwa na wahuni
Suala la kuoa au kuolewa hujipangii wewe.😂😂😂😂
Sema haya mambo mda mwngn.... unaweza date na wadada wazuri wenye figure kali na wapo vzr kichwani ila ipo siku unatulizwa na mdada wa kawaida sana
Vp anapeleka moto kama kaka yake?Yeye yupo tofauti sana
Sema tu ni agemate ila he is smart kama kaka yake
Ata lipa karma uyu mshenzi
nae mpe mwaya!Baba yake Bado yupo hai
Kwanini unamuombea mabaya huyo dada pamoja na huyo boss wako?. Maamuzi ya kuoa aliyafanya huyo mwanaume au boss wako?.Sawaa Mungu mtu ambaye ambae hata tarehe ya kifo chako hujui na hujui kesho yako
Kazi kuongelea watu ambao huwajui
Inaonyesha ni jinsi gani wewe ni mwanamke wa hovyo, una degree ya kutongoza wanaume maana boss ulimuanza wewe aka kwambia anamahusiano, ukajilazimishia kama chaja mbovu, sasa umemuanza mdogo wa boss, una mkomoa boss ambaye yuko na mkewe, anaye chapika ni wewe.Kanipotezea muda
Sasa nimeanzisha mahusiano na mdogo wake mpaka kieleweke
Si alikwambia ana mtu au hakukwambia?Yy Ndio kanipotezea
Yy ameoa mm nimebaki depressed
Sasa mdogo wake ananiliwaza
Huyo mdogo wake hata kuoaYy Ndio kanipotezea
Yy ameoa mm nimebaki depressed
Sasa mdogo wake ananiliwaza
Huyo mdogo wake hawezi kuku oa, labda umloge,Nitaolewa na mdogo wake boss mtu mwema
Aliyeolewa yawezekana alikuwa anaweka viongo kwenye 'kitumbua' chake, halafu hukuwahi kutumia viungo kwenye 'cha kwako.'Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked.
Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Huu ni mchepuko wa kudumu hana ujanjapsychologically ww ndio unaumia zaidi kuliko yeye Kwa jinsi unavyojielezea and you want to just show him ila ninauhakika akijaomba game utampatia
Nili muuliza hili swali, alimpiga chini jamaa yake akamtongoza boss. Sasa kamtongoza mdogo wa boss hii itakuwa karmaUsikute Karma imeanza kufanya kazi kwako mana huenda nawe kuna mchizi ulimzingua sababu ya huyo bosi wako.