Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 890
- 2,203
Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked.
Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea