Habari njema ila kuna mfumuko mkubwa wa beiAfadhali maana daah! juzi nilikoswakoswa kufumaniwa habari njema hii kwangu !
Habari njema ila kuna mfumuko mkubwa wa beiAfadhali maana daah! juzi nilikoswakoswa kufumaniwa habari njema hii kwangu !
daah janga lingine tena bei imepanda mkuu wanalipiza muda waliokaa lokap nnHabari njema ila kuna mfumuko mkubwa wa bei
Please Kona bar iko wapi nijuzeKona baa kama kawa watoto wa vigogo hawakosi
Weekend hii Apartment nimeshakabidhi kwa mdogo wangu mimi nitarudi Jumatatu Raha ya Ubachela hii kama nipo honey moon na watoto wa DSM hii walivyokua wazuri.
Tupe namba mkuu..ile kitu ni tam sana....Mtoto aisha wa kimara yuko kidigitali zaidi, matangazo yake na picha za whatsapp lazima utamtafuta tu!
Hii kitu haizuiliki.
Kwani sisi tukifa,we unapata hasara gani mkuu!!!!Mtakufa mapema sana ninyi, uasherati ni dhambi kubwa sana.
Kufa kupo tu mtu wangu....hiyo ni ajali kazini...Daah maisha yana raha sana yake jamani eti nami ipo siku nitakufa.