Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Si mbaya haki za binadamu waingilie kati kwa serikali kumuweka rumande mwehu/kichaa
Hiyo n kweli kabisa toka lini kichaa akafunguliwa kesi au kwann mmtangaze m2 ambaye hamjampima akili na mkiwa mnahisi hana akili? Lol! Kova kwa hili umeunguzaSi mbaya haki za binadamu waingilie kati kwa serikali kumuweka rumande mwehu/kichaa
These words come out of the mouth of an angry man! Watch out you magamba people.
Hii inchi sijui tunapekekwa wapi! Jamaa hataki watu waongelee issue ya Dr Ulimboka sababu tu kichaa yupo rumande!!
dcp sulemani kova amesemani hataki malumbano na mchungaji gwajima kuhusiana na mtu aliyemteka dr. olimboka,
akiongea na waandishi wa habari leo hii amesema kuwa wananchi waendelee kuwa na imani na jeshi lao