Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Ni kweli mkuu Ngoja nijitahidi nikae bila ban Kama miezi miwiliWakati mwingine ukipigwa ban kumbe unajitakia.
Ni kweli mkuu Ngoja nijitahidi nikae bila ban Kama miezi miwiliWakati mwingine ukipigwa ban kumbe unajitakia.
Nitafurahi kuliita hivyo should it be for the people of this country & not for few like mabwepande groupSasa hv unaona ni kachama Yaaani kadogo but soon utaliita LICHAMA yani litakua likubwa mno!
Walipa kodi Tanzania tumeumia! Vyama vyote vya siasa vinapewa ruzuku ya kodi yetu, kisha vinaanza jeuri ya kutunyanyasa wananchi!
Hicho chama kweli ni mitambo kama wewe ndio wamekupa kazi ya kueneza na unaweka andiko dhaifu hivyo kweli mnayo! karibuni sana.
Hii ndio moja kati ya sababu kubwa iliyochangia kuanzisha ADC, Inasikitisha sana kuona kila jambo inalohusisha Siasa waTz washatanguliza kunyonywa, ufisadi na mawazo mengine mengi ya Mgando kama hayo, ADC tunataka tuwaondolee hili katika kila bongo ya Mtz. ADC ndio Mkombozi wako.

acha wehu wako, sio kila chama ni ccm.au unataka wote tuwe wachaga ndio uridhike
kupata usajiri hainisumbui kichwa kwani hata TLP, UDP, NCCR na vingine vingi vimesajiliwa. ukweli ni kwamba hamtauweza ushindani uliopo na badala yake mtaishia kuwapigia debe wenye nguvu. go to hell ADC