Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

Mi siyo shabiki saaana wa mavyama ya siasa bt I can see something kwny hiki chama. Wako organised, tuwape muda 2!
 
Hongereni ADC. Karibun rasmi katika harakati za kupigania haki za maskini,wanyonge na wote tunaodhulumiwa haki zetu ndani ya taifa letu. We are expecting alot from you.
 
Du ichi chama ccm c nacho kimepata usajili?, du cdm mkae macho adui mwingine ameingia kwenye siasa za tz, sipati picha siku Hamad Rashid akiwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni maana alikuwa anavujisha maswali kwa pm au mzee wa liwalo na liwe ili ccm wasimbane na biashara zake za uvuvi zisipate vikwazo, huyu Hamad Rashid ni mtu wa double standard sana,sijui kama ataacha tabia ya ku-side na liwalo na liwe au mzee wa kulialia mjengonni, chama cha pemba hiki hawana jipya.
 
Walipa kodi Tanzania tumeumia! Vyama vyote vya siasa vinapewa ruzuku ya kodi yetu, kisha vinaanza jeuri ya kutunyanyasa wananchi!
 
Hii ndio moja kati ya sababu kubwa iliyochangia kuanzisha ADC, Inasikitisha sana kuona kila jambo inalohusisha Siasa waTz washatanguliza kunyonywa, ufisadi na mawazo mengine mengi ya Mgando kama hayo, ADC tunataka tuwaondolee hili katika kila bongo ya Mtz. ADC ndio Mkombozi wako.
 
Tunasubiria muanze kugombea ruzuku maana ndio adhma ya kuanzishwa ADC ila 2015 mtapewa kasungura kaduchuuuu ila sio mbaya mwanzo mgumu Siku zote ila Naona bora mmeanzisha ili CDM ipate wapinzani baada ya kuingia magogoni 2015 keep it up
 
kupata usajiri hainisumbui kichwa kwani hata TLP, UDP, NCCR na vingine vingi vimesajiliwa. ukweli ni kwamba hamtauweza ushindani uliopo na badala yake mtaishia kuwapigia debe wenye nguvu. go to hell ADC
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 18(a) inasema; "kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake"
Naona unafuja uhuru wako hapa.
 
Nawapongeza kwa kupata usajili. Mie naona chama chenu kimetengenezwa kama mbinu ya kukabiliana na chadema, na hii inajidhirisha wazi katika rangi za chama chenu. Msipokuwa makini kati yenu na chadema hizo rangi zitawachanganja sana wananchi wakati wa kupiga kura. Hivyo ni bora kuhakikisha ADC au chadema mnatatua huo mgongano wa rangi mapema kabla wote hajapoteza kura zenu kutokana na utata wa rangi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom