Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

Tanzania ilikuwa shamba la " BiBi" enzi zileee!!

Asante Mhe JPM kwa kurejesha heshima kwa nchi yetu, sasa tunauwanja sawa wa kucheza!!! unjanja ujanja umepungua kama sio kwisha kabisa!!!!
 
Naombeni mnisaidie maana ya hili neno "kutakatisha fedha"
ni pale mtu unakua umepata pesa nying kwa njia sio ya halali so huez kuzispend ukahisi watu watakushtukia
so unaamua labda kutengeneza vi biashara vya uongo na kweli uonekane hela zako unazotumia mitaan kihalal
mf mtu anafungua mgahawa kwenye kitabu cha mauzo anaongeza mapato kuonesha biashara inaenda vzr mno
natumai umenielewa wajuz wengne watakuelewesha
 
Tembea polepole mkulu Gentamycine njoo vile tuko tunaendaka.chunga mbele.
kivumacho hakidumu
 
Mi naona hii case ni ya kugushi vibali,
labda kama dhahabu aliiba au aliipata kwa utapeli ama kainunua kwa pesa za madawa ya kulevya.

Lakini kama dhahabu kainunua kwa pesa halali akataka kuisafirisha akagushi vibali labda ili kuepuka kodi,
sijana laundry hapa au labda money laundry ina maana pana kuliko nayoijua
 
Nakumbuka maneno yake tukiwa golden fork alinambia anataka kuishi maisha ya kutosumbuana na serikali kwani umri wake sasa ni wakutunza familia hivyo kujihusisha na mambo ya ujanja ujanja si vyema sasa. Lakin naona hesabu zimekataa.
 
Hahaha kama mlugaluga Bashite tu anaweza kuipata hiyo milion 100 kwa siku au wiki ndo ije kuwa mtoto wa mujini Ndama ambaye hiyo milioni 100 anaingiza kwa masaa tu.

Jela ni mbaya waulize Fm academia
haha hehee bashite sio mlugaluga kama ameweza kumchezesha bosi wake sebene ameingia chaka!! sasa anafanya mambo ya hovyohovyo ......... shkamoo bashite pale ziro inapoweza kuichezesha piihechi dii mnanda huo ni zaidi ya uhuni usimchukulie poa asee
 
Naombeni mnisaidie maana ya hili neno "kutakatisha fedha"
Nakupa mfano mdogo tu " upo kitaani huna kazi wala biashara, ila gafla unapeleka madawa ya kulevya south unarud unalipwa milion mia tatu, cha kwanza huwez kaa nazo ndani pili utumiaji wake watu watauliza umepata wapi pesa? Maana hela haijifichi!
Sasa walichokuwa watu wanafanya anafungua kiduka cha kuuza nguo/boutique kisha anaweka mzigo, then anaanza kutumia fedha sasa ukimuuliza anakuambia duka la nguo linalipa sana, anachukua hela anaingiza bank mfano kwa siku 40 milion akifatiliwa na vyombo vya usalama anawaonyeshea duka la nguo kwamba ndio chanzo cha mapato yake! Kuumbe lahaula.
Na hii style kipindi cha kikwet ilikuwa common sana vuduka vya nguo vikawa vingii na watu wana hela mbayaa....ila ww ukichukua hela yako ya shamban ukawekeza unashanhaa huoni biashara
 
Jamaa alimchukua dem wa papii kocha akamuoa kamzalisha fasta! Anaitwa Mirayesa mbombo alikuwa muimbaji na mcheza show wa Fm academia kaimba ktk ule wimbo wa Dunia kigeu geu
...acha umbea kwa vitu usivyovijua kuchafulia watu majina,
..kuku wewe!
 

Mkuu nimekuelewa sana
 

Mwanzoni nilikua nashangaa kwamba boutique zinalipa namna hile kumbe majanga sana Mambo ya chid Mapenzi pale naona duka kaliamisha kodi anadai kubwa
 
Amekubali kutakatisha 1.18Bln

Adhabu kwa mujibu wa sheria hilo kosa
a) Kifungo kati ya miaka 5 kisichozid miaka 10 AU
b) Faini ya kati ya mili 100 mpaka 500

Hapo ndio nnapoipenda sheria.

So zile pesa analipa au ndio bai bai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…