Hatimae nimepata kazi baada ya kumaliza chuo

Hongera sana na karibu katika utumishi wa Umma kukutana na wakongwe kazini
 
hongera sana. kweli nimeamini utumishi ni taasisi huru. mimi pia namshukuru MUNGU nimeitwa kazini baada ya kusota mtaani tangu 2008. ndugu na jamaa walikuwa wakinibeza kuwa nimesomea fani mbaya isiyo na ajira
ila siku kata tamaa niliendelea kuaply na kumuomba Mungu. hatimae nami nimepata kazi. Wale ambao bado hamjapata msikate tamaa endelea kuaply ipo siku utapata
 
samahani mambaraka naomba nikuulize kidogo:
hivi barua na CV yako uliyotuma na kupata kazi utumishi uliandika kwa mkono au ulichapa?
 
Last edited by a moderator:

nami pia natamani sana kujua kuhusu hili pia!
Je cv na barua kwenda utumishi zinakuwa hand written ama typed?
 
Barua niliandika kwa mkono, ila cv nilitype. pomoja na barua pia kikubwa ni maandalizi na kusoma maana interview zote written na oral wanauliza maswali ya proffessional
 
je barua ikiwa typed haifanyiwi kazi na utumishi na kushindwa kuitwa interview?
 
Back
Top Bottom