beauty for real
Member
- Jan 21, 2015
- 59
- 18
Nachukua nafasi hii kumshukuru mungu wa mbinguni kwa kutimiza ndoto zangu za maisha. Wanajamii forum napenda kuwapa moyo kwamba kazi zipo lkn wahitaji ni wengi mno. Hivyo basi kumbe haipaswi kukata tamaa. Jana usiku nimeona jina langu kati ya watu wanaoitwa kazin. Mpaka sasa siamini macho yangu nahis kama naota. Cos family members walisha niambia ajira ni ngumu sana. So niandae miaka kama mitatu ya kusota....but haikuwa hvyo. HIVYO BASI NAPENDA KUWAAMBIA ATAFUTAE ACHOKI. UTUMISHI NI CHOMBO HURU KWA WATOTO WA WAKULIMA KAMA MM. MSIKATE TAMAA