Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,402
Shem Dunia yangu ni leo ya uzeeni ni majaliwa!Hongera shemeji lakini uzeeni hayo manyama yatakupa shida sana
Yana nini aisee tuwazuie yasikue mkuuHongera shemeji lakini uzeeni hayo manyama yatakupa shida sana
Uzeeni hayo yanatepetaYana nini aisee tuwazuie yasikue mkuu
Uzeeni hayo yanatepeta
Wakati huo mnaitwa bibi na babu hata jogoo wako hawiki kila siku 😂Duuh nadhani ndo chanzo cha kuitwa mtu mzima ovyo hapo maana utakimbilia mechi za ugenini
Vibabu hata kama havina madhara vinapenda kukumbatia tu vipate jotoWakati huo mnaitwa bibi na babu hata jogoo wako hawiki kila siku 😂
Duuh nadhani ndo chanzo cha kuitwa mtu mzima ovyo hapo maana utakimbilia mechi za ugenini
Sio mie ni maneno ya wataalamu Sky Eclat ndo yamenifanya ni-comment hivyo maana nilijua jimwili hilo mpaka uzeeni kumbe wataalam wanatuambia uzeeni linatepetaAcha kumponda mpenzi wangu niliemchagua mkuu!
Sio mie ni maneno ya wataalamu Sky Eclat ndo yamenifanya ni-comment hivyo maana nilijua jimwili hilo mpaka uzeeni kumbe wataalam wanatuambia uzeeni linatepeta
Sie ni wazee wa short term hadi kwenye chaguzi za miiliMzungu si mjinga kupenda English figure ile ni all the way to 💯 Birthday 🎁
Ndo umempeleka Kwa mama😁😁😁
Ndo umempeleka Kwa mama
Hongera mkuu,siku akiumwa inabidi ukodi winchiHapo yupo na mama mkwe mkuu!