Kidotulotokordwak
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 286
- 43
- Thread starter
-
- #141
........atakuwa hana kazi ya kufanya kama wewe vile ambaye unaangaika kusafiri kwaajili ya mademu wa mkataba. Halafu kibaya zaidi hujijui kuwa wewe ni mwanaume ambaye umefikia wakati wa kuwa na mtoto au la! hadi ulazimishwe na Bi mkubwa lol!!. Aha ha ha ha! wewe kweli kichekesho
Siyo mama tu, bali na baba pia.
bangi inavyokukaza unadhani kila mtu anakazwa kama wewe, balehe plus cha arusha lazima ufantasize chezea majani wewe...jasusi, student jason bourne
ukipata mume utatulia tu,najua unahasira kwa kumamaliza mwaka mzima bila kutongozwa,maskin pole sana
huyo shigongo bwana ako maana naona unamzungumzia sana,au ndo mnatafuta ela ya mboga kupitia kwangu
Aha ha ha ha!! kumbe hata kusoma hujui na kila msg utakayoiona lazima ujibu doooh kazi unayo mdogo wetu. Hutaki point kutoka kwangu lakini nia yako umekuja humu ili upate point, umekosea kijana nenda facebook utawapata wehu wenzio kibao kule na hadithi zako za kitoto"majorbuyoya" kweli jina lako linaeleza we ni mtu wa aina gan,kweli we ni "major boya" na sitegemei kupata point kutoka kwa boya
ukiona mwanamke anacheka cheka kama kala kabich ujue amekosa wakumkaza[/color
jamani mi nilishaona hamna mtu hapa,msameheni bure tu!we re too old for this my dears!too old!Naona sasa umeanza kutoa your true color!!
Aha ha ha ha!! kumbe hata kusoma hujui na kila msg utakayoiona lazima ujibu doooh kazi unayo mdogo wetu. Hutaki point kutoka kwangu lakini nia yako umekuja humu ili upate point, umekosea kijana nenda facebook utawapata wehu wenzio kibao kule na hadithi zako za kitoto
Yap ni Bwana ako.
kaanzishen thread yenu siyo mnakuja kukutania hapa
jamani mi nilishaona hamna mtu hapa,msameheni bure tu!we re too old for this my dears!too old!
Acha Hasira wewe!!!!
kumbe umeolewa hongera bwana,haya log out ukampikie mumeo mda wa lunch huu
Pole sana dogo, unategema akili zitakuwa zaidi ya hizo za kushikiwa na Bi. mkubwa?. Inabidi umshukuru sana Bi. mkubwa amekusoma vizuri na kutambua ugumu ulio nao unaweza kusababisha uwe mwehu ndo maana akakushauri utafute kicheche cha kukupunguzia stress. Bora utoke hapa, unaboa mno!your brain is too old 4 this not ur age!! Bora nikue akili kuliko mwili
Pole sana dogo, unategema akili zitakuwa zaidi ya hizo za kushikiwa na Bi. mkubwa?. Inabidi umshukuru sana Bi. mkubwa amekusoma vizuri na kutambua ugumu ulio nao unaweza kusababisha uwe mwehu ndo maana akakushauri utafute kicheche cha kukupunguzia stress. Bora utoke hapa, unaboa mno!
Kwani mume ndio hamboi mtu? wee dogo akili zako cjui zikoje, ndo maana tunasema za kushikiwa na Bi.Mkubwa wako.lazima nikuboe coz mimi siyo mume wako,kuanzia umeanza kuchangia huwa unaandika kejeli upuuz unategemea ujibiwe busara,jipange
Hii sasa mkuu ni dharau...acha!!!
si ulisema we ni mwanafunzi?Au nimekufananisha