Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Love drama,Uzuri uko ndani kwa nje mnajiongopea,hapo mkuu ulipelekwa ka kondoo kutokana na uchu na tamaa za ufisi maji ulizokuwa nazo,binti kaambatana na watu wake wewe uko peke yako je kama ni matapeli wakikugeuka utajitete na nani wa upande wako?au hana mtu yeyote wa karibu?only fools can follow this way
 
lazima utakua mwanamke na kama ni mwanaume utakua huna kaz ya kufanya.

hahahahahahahahahahahahahah

jasusi nakubali mie sina kazi ya kufanya ila wewe una kazi ya kufanya ndo maana unafantasize ujinga,

balehe tu inakusumbua ukikua utaacha.....

Hahahahahhaaaaa halafu uzi zako pumba heri za Natalia....


Hhahahahaahahahahaaa balehe ukichanganya na majani unapata Kidotulotokordwak.....

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa baleheeeeeeeeeeee majaniiiiiiiiiiiiiii = jasusi the student hahahahahahaaa
 
Last edited by a moderator:
kwikwikwiii,kwa hiyo ni kwamba alipiga canabis afu akaanza kufantasize ikampeleka dom,mara mwanza,arusha then dar,kufungua mlango anakutana na panel imeandaliwaa huh! Lmao!
 
Last edited by a moderator:
kwikwikwiii,kwa hiyo ni kwamba alipiga canabis afu akaanza kufantasize ikampeleka dom,mara mwanza,arusha then dar,kufungua mlango anakutana na panel imeandaliwaa huh! Lmao!

hhahahaaaa mmea mbaya, hauna masihara hahahahaaa
 
Hongera zako Mkuu, JF ni kila kitu, ila ndugu yangu kwa vile umepewa muda wa kutosha mwaka mmoja kama ulivyo dokeza, nakuomba kama unajipenda na maisha yako mazuri ya baadae, tafadhari mshirikishe Mungu kwa nafasi kubwa ya mipango yako!!!! Nakuomba fanya upate muda mzuri wa maombi, kama hujui au si mshirika wa maombi tafuta mtu atakaye kuongoza katika hilo wako watumishi wengi wazuri ambao sio matapeli wahusishe!!! Kwa vile imekuchukua muda mwingi kufanya reserch naona nia yako ni nzuri tafadhari shirikisha Mungu jambo hilo, Ubarikiwe!!!

 
arusha 2 dom nilitumia usafiri binafsi(cruser) though siyo wangu,the same from dom 2 mwanza,ila nilipata udhuru ya kikaz nikarud arusha so nilitoka arusha kuja Dar kwa usafiri wa basi.
Kama kituo chako ni Arusha kwa nini usiwe na face to face interaction ili kuwe na mazungumzo mazuri zaidi, si tutafutane Mkuu!!!!

 
Holla holla nikka in the first place shit was a street lingua for something but what u wrote is a real shit hope u gotta 'em toilet papers otherwise you stink.... watch out mama's boy!
Jamani tena vipi mbona mnakwenda mbali, tulizana muwe na akili za kiutu uzima huo ni utoto, kama hukubaliani naye basi tumieni lugha ya staha kujibizana!!!

 
bora ungesema mchumba na sio mke
mke mwema hajulikani kwa siku chache
goodluck
time will tell coz mi ndo nnaish nae siyo wewe

huyo mtoto wako wa miaka 7 unanifananisha nae?kwel umenidharau,ameridh akili zako,unafikiri kama mtoto kazaliwa na clown unategemea awe na akili,
 
Unajua hii makitu usipofuata vigezo na masharti







Matokeo yake yanakuwa si mazuri. Umenielewa my wifey BADILI TABIA?


 
Last edited by a moderator:
shigongo akiipitia hii lazima atai-modify na kuituingia hadithi.
 

mmmmhhhhh hii kitu na maneno ya BT sijui niamini lipi.. :coffee:
 

huyo shigongo bwana ako maana naona unamzungumzia sana,au ndo mnatafuta ela ya mboga kupitia kwangu
 
Last edited by a moderator:
Haraka bila kuchelewa......





Na matokeo ya matumizi yake vigezo na masharti hayatazingatiwa.


eti ASPRIN unategemea we mzima kweli,maliza doz kwanza ndo uje.inaonekana your mother alikua anakula bangi sana ndo maana uko addicted,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…