Hatimae gesi yashuka bei

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,582
Hii n habari njema kwa wananchi kuanzia Ijumaa gesi itashushwa bei.

Oryx kubwa 47-48 Alf beiya kuuza.

Oryx ndogo 19-20 Alf beiyakuuza.

Mihan kubwa 45-46alf beiyakuuza.

Mihan ndogo 19-20alf beiyakuuza.

NB:
BEI HIZI NI KWA HELA HALALIYA KITANZANIA...PIA ITATEGEMEA NA STOCK YA MTU..KAMA AJAMALIZA MZIGO WA ZAMANI TARAJIA KUKUTA BEI ILEILE..KWA MZIGO MPYA TU KUANZIA IJUMAA UTAUZWA HIZO BEI

RGDS
REV PDIDY
 
Hii n habari njema kwa wananchub kuanzia ijumaa gesi lishushwa bei

Oryx kubwa 47-48 Alf beiya kuuza

Oryx ndogo 19-20 Alf beiyakuuza

Mihan kubwa 45-46alf beiyakuuza

Mihan ndogo 19-20alf beiyakuuza

NB
BEI HIZI NI KWA HELA HALALIYA KITANZANIA...PIA ITATEGEMEA NA STOCK YA MTU..KAMA AJAMALIZA MZIGO WA ZAMANI TARAJIA KUKUTA BEI ILEILE..KWA MZIGO MPYA TU KUANZIA IJUMAA UTAUZWA HIZO BEI

RGDS
REV PDIDY
Mkoa gani
 
Hapo kwenye kujua kama stock imeisha au bado ya zamani tutajuaje, mitungi mipya ina nembo au alama?
Shukrani
 
Mihani KG 15(mtungi 30kg) walikuwa wanauza 52 kwahyo kupungua kwa 6k hamna Kitu ilitakuwa tuuziwe buku 25.
 
Last edited:
ilitakiwa iwe,ilitakiwa iwe,na ndo haijawa.wabongo tuko vizuri kwenye bei elekezi!!!!
 
Gharama Hii Bado Kubwa Sana Iwe 15000/- Watu Wengi Watumie Gas í ½í±‹í ½í±†
 
Bado kubwa sana! ishuke zaidi na zaidi, hivi si wanasema hapa Tz tuna natural gas jamani?
Bei ishuke zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom