Hatimae gesi yashuka bei

Hatimae gesi yashuka bei

Bado Bei Iko Juu Tu!!! Mkaa Kwa Makabwela Bado Utakuwa Ndio Suluhu Kwetu!!!! Washushe Zaidi Tuachane Na Mkaa!! Otherwise Ni Hao Hao Wenye Nguvu Kiuchumi Tu, Ndio WATAENDELEA KUTUMIA!!
 
Hii kitu huwa hata sijui bei yake ngoja nikamuulize wife huwa ananunua kwa bei gani.
 
Bado kubwa sana! ishuke zaidi na zaidi, hivi si wanasema hapa Tz tuna natural gas jamani?
Bei ishuke zaidi
Ya hapa kwetu bado haijaanza kutumika majumbani, uzalishaji wake bado. Hizi tunazotumia kwa sasa zinatoka Sauz
 
Bado gas iko juu sana mpaka hapo:: ishuke zaidi ya hapo twatakiwa tununue kiasi cha elfu 10000 tu kwa mtungi mkubwa
 
Hii n habari njema kwa wananchi kuanzia Ijumaa gesi itashushwa bei.

Oryx kubwa 47-48 Alf beiya kuuza.

Oryx ndogo 19-20 Alf beiyakuuza.

Mihan kubwa 45-46alf beiyakuuza.

Mihan ndogo 19-20alf beiyakuuza.

NB:
BEI HIZI NI KWA HELA HALALIYA KITANZANIA...PIA ITATEGEMEA NA STOCK YA MTU..KAMA AJAMALIZA MZIGO WA ZAMANI TARAJIA KUKUTA BEI ILEILE..KWA MZIGO MPYA TU KUANZIA IJUMAA UTAUZWA HIZO BEI

RGDS
REV PDIDY
Mkuu,hebu toa ufafanuzi unaoeleweka kiuwazi zaidi.Tufafanulie vizuri maana kuna mitungi ya kilo 30,15 na 6.Tupambanulie kila mmoja na bei yake.
 
Hii n habari njema kwa wananchi kuanzia Ijumaa gesi itashushwa bei.

Oryx kubwa 47-48 Alf beiya kuuza.

Oryx ndogo 19-20 Alf beiyakuuza.

Mihan kubwa 45-46alf beiyakuuza.

Mihan ndogo 19-20alf beiyakuuza.

NB:
BEI HIZI NI KWA HELA HALALIYA KITANZANIA...PIA ITATEGEMEA NA STOCK YA MTU..KAMA AJAMALIZA MZIGO WA ZAMANI TARAJIA KUKUTA BEI ILEILE..KWA MZIGO MPYA TU KUANZIA IJUMAA UTAUZWA HIZO BEI

RGDS
REV PDIDY

Hakuna kushuka hapo. Ni geresha tu. Gas tulime sisi halafu bei iwe hiyo?
 
Mbona mimi nanunua hiyo bei uliyoiandika hapo?
 
Bai ya kubadili itakuwa kiasi gani. Tupe bei elekezi ya kubadili au kujaziwa
 
Hakuna kushuka hapo. Ni geresha tu. Gas tulime sisi halafu bei iwe hiyo?
Bado tuna import gas ya majumbani. Gas ya mtwara itachukua mda sana kutumika, sio kitu cha kulima na kuvuna siku hiyo hiyo...
 
bei bado zipo juu niliskia umeme utashushwa lakini mpaka sasa jau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom