Hatimae Economist Perry amepata kazi Serikalini

hongera sana. kapige kazi ingawa maslahi siyo mazuri sana lakini kapige kazi. Nchi inakuhitaji.
 
wakuu habari za siku nyingi?
atafutae hachoki,baada ya kuzifukuzia kazi za serikali kwa muda mrefu hatimae nimepata kazi huko serikalin kwa Magufuli,nimekua miongoni mwa watanzania wachache tuliochaguliwa ktk nafasi ya economist grade ii katika moja ya wizara nyeti kabisa hapa nchini.so nawasihi tu wale ambao hamjapata kazi bado,msife moyo.Mungu ni mwema,wakati wako ukifika atakuinua tu..
Asanteni kwa Nyote tulioshirikiana kwenye hili jukwaa letu pendwa.
Kaz kazi
 
Hongera sana Perry Nikikumbuka Zile Nafasi za TRA Ulizodondokea Pua Uka panic na kujishaua kuwa una Kazi Nyingine kumbe huna lolote na Sasa unafurahia Kazi ya Economist-Grade II yenye mshahara wa 716,000.

Mungu Akujalie Perry hapa katikati ulipunguza Mdomo na ndo imekua Silaha yako Nakutakia Utumishi Mwema mkuu Maana Umesota sana taangu mwaka 2013 kama Degree zingekua Zina Expire basi ya Kwako Ingekua tayari ilisha expire

Mkuu Hongera sana.
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikalini jifunze kutochanganya peri na mchumi II maana peri atakuwepo ila mchumi anaweza tumbuliwa.
Itakusaidia kujipanga kimaisha.
 
Hongera sana Perry Nikikumbuka Zile Nafasi za TRA Ulizodondokea Pua Uka panic na kujishaua kuwa una Kazi Nyingine kumbe huna lolote na Sasa unafurahia Kazi ya Economist-Grade II yenye mshahara wa 716,000.

Mungu Akujalie Perry hapa katikati ulipunguza Mdomo na ndo imekua Silaha yako Nakutakia Utumishi Mwema mkuu Maana Umesota sana taangu mwaka 2013 kama Degree zingekua Zina Expire basi ya Kwako Ingekua tayari ilisha expire

Mkuu Hongera sana.
Na tuliopata tukawa maadui zake😀😀😀, ila jamaa comment yako ina maudambwi ya kufa mtu na vijembe vya haja.
 
Kwaio jamaa anafurahia kwenda kufanya kazi wizarank hahahaha
 
Nasikia waliopangiwa kazi juzi na sekretarieti ya ajira hakuna mchumi aliyepangiwa wizarani sasa sijui huyu kapangiwa wizara ipi?
 
Wakuu habari za siku nyingi?

Atafutae hachoki, baada ya kuzifukuzia kazi za Serikali kwa muda mrefu hatimae nimepata kazi huko Serikalini kwa Magufuli, nimekua miongoni mwa watanzania wachache tuliochaguliwa katika nafasi ya economist grade II katika moja ya wizara nyeti kabisa hapa nchini.

So nawasihi tu wale ambao hamjapata kazi bado, msife moyo. Mungu ni mwema, wakati wako ukifika atakuinua tu..

Asanteni kwa Nyote tulioshirikiana kwenye hili jukwaa letu pendwa.
Kama ni kweli umepata basi unastahili pongezi maana nimekutana na thread yako ya kutafuta kazi usalama ya 2011.Hongera Sana mkuu.
 
Wakuu habari za siku nyingi?

Atafutae hachoki, baada ya kuzifukuzia kazi za Serikali kwa muda mrefu hatimae nimepata kazi huko Serikalini kwa Magufuli, nimekua miongoni mwa watanzania wachache tuliochaguliwa katika nafasi ya economist grade II katika moja ya wizara nyeti kabisa hapa nchini.

So nawasihi tu wale ambao hamjapata kazi bado, msife moyo. Mungu ni mwema, wakati wako ukifika atakuinua tu..

Asanteni kwa Nyote tulioshirikiana kwenye hili jukwaa letu pendwa.
Thanks , Kwa Kututia Moyo Me Nilisha Anza Kukata Tamaa
 
Daahhh niliposoma huu Uzi ,nkasema ngoja npitie nyuzi yako.

Kweli atafutae hachoki maana ukiwa namoyo mwepesi unaweza jihisi moyo wako unakihelehele cha kuhangaika.

HONGERA SANA MKUU.

sijui naweza kutangaza ndoa[emoji23][emoji23]!!!
 
wakuu habari za siku nyingi?
atafutae hachoki,baada ya kuzifukuzia kazi za serikali kwa muda mrefu hatimae nimepata kazi huko serikalin kwa Magufuli,nimekua miongoni mwa watanzania wachache tuliochaguliwa ktk nafasi ya economist grade ii katika moja ya wizara nyeti kabisa hapa nchini.so nawasihi tu wale ambao hamjapata kazi bado,msife moyo.Mungu ni mwema,wakati wako ukifika atakuinua tu..
Asanteni kwa Nyote tulioshirikiana kwenye hili jukwaa letu pendwa.
Mchumi daraja la pili katika ngazi ya mshahara TGS D utaanza na mshahara wa 650,000 na take home ya kama 430,000 hongera lakini
 
Back
Top Bottom