Hatimae Economist Perry amepata kazi Serikalini

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Wakuu habari za siku nyingi?

Atafutae hachoki, baada ya kuzifukuzia kazi za Serikali kwa muda mrefu hatimae nimepata kazi huko Serikalini kwa Magufuli, nimekua miongoni mwa watanzania wachache tuliochaguliwa katika nafasi ya economist grade II katika moja ya wizara nyeti kabisa hapa nchini.

So nawasihi tu wale ambao hamjapata kazi bado, msife moyo. Mungu ni mwema, wakati wako ukifika atakuinua tu..

Asanteni kwa Nyote tulioshirikiana kwenye hili jukwaa letu pendwa.
 
wakuu habari za siku nyingi?
atafutae hachoki,baada ya kuzifukuzia kazi za serikali kwa muda mrefu hatimae nimepata kazi huko serikalin kwa Magufuli,nimekua miongoni mwa watanzania wachache tuliochaguliwa ktk nafasi ya economist grade ii katika moja ya wizara nyeti kabisa hapa nchini.so nawasihi tu wale ambao hamjapata kazi bado,msife moyo.Mungu ni mwema,wakati wako ukifika atakuinua tu..

Hongera sana Mkuu. Sasa chapa kazi kwa sauti ya nanihii.

Wewe ni Me au Ke?
 
Nakumbuka ulivyo kua una lalamika humu.. Leo una cheka.. . Maisha bwana.. Maisha ni Mungu. Hongera .. .. . Uwe una pita kutu salimia Mara moja moja.. .. Utuletee link za kazi serikalini.
 
Hongera sana Perry Nikikumbuka Zile Nafasi za TRA Ulizodondokea Pua Uka panic na kujishaua kuwa una Kazi Nyingine kumbe huna lolote na Sasa unafurahia Kazi ya Economist-Grade II yenye mshahara wa 716,000.

Mungu Akujalie Perry hapa katikati ulipunguza Mdomo na ndo imekua Silaha yako Nakutakia Utumishi Mwema mkuu Maana Umesota sana taangu mwaka 2013 kama Degree zingekua Zina Expire basi ya Kwako Ingekua tayari ilisha expire

Mkuu Hongera sana.
 
Wakuu habari za siku nyingi?

Atafutae hachoki, baada ya kuzifukuzia kazi za Serikali kwa muda mrefu hatimae nimepata kazi huko Serikalini kwa Magufuli, nimekua miongoni mwa watanzania wachache tuliochaguliwa katika nafasi ya economist grade II katika moja ya wizara nyeti kabisa hapa nchini.

So nawasihi tu wale ambao hamjapata kazi bado, msife moyo. Mungu ni mwema, wakati wako ukifika atakuinua tu..

Asanteni kwa Nyote tulioshirikiana kwenye hili jukwaa letu pendwa.
Acha utoto
 
hongera mkuu nakumbuka ulivyo lalamika sana kukosa nafasi za TRA na TAKUKURU kweli mungu hamtupi mja wake
 
Mkuu jiandae kujibu maswali ya Mzigua na miss Natafuta kama umeoa...! Chukua tahadhari vibaka wa kike wanakuwinda hapa..[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom