Hatimae CONTINENTAL ndani ya Nyumba

Hatimae CONTINENTAL ndani ya Nyumba

Dodoma ziko channel 11. Kuna itv, startv, capital, dw, tbc, citizen, channel ten, eatv... Alafu pia faida nyingine kinasoma hadi HDD drive kwa hiyo sio lazma urecord thro flash, movies games unaplay. Pia kama una hd screen na hd movies lazma ufurahie
 
kwa chaneli hizo....i will stick with my startimes decoder......
 
mi mwenyewe ninacho acha kabisa continental ukifuata mashart tuu utakipenda kina channel Zakutosha halafu clear kinarekod vipindi mpaka raha yaani safi Sana mkuu umechagua kilicho bora
 
Hata na mimi nasubiri cha Azam, yaani ni full Azam; Unga wa ngano na mahindi, maji ya uhai, azam cola, juice ya azam, king'amuzi cha azam, channel ya kuangalia ni tv azam ikionyesha kipindi cha Simba tv.
Na daladala Azam, ukienda kupumzika zenj-Azam, sidhani kama hana mpango wa kuleta na Azam Airways
 
Yaani channel 24 ni nyingi kiasi huwezi kuorodhesha? Are serious?
Wadau msiendelee kupoteza hela kununua ving'amuzi kila cku, hawa ndo walewale tu. Chanel 24 ndo anaona nyingi za kutudanganyia sisi hapa JF! aeleze amekuja na kitu gani kipya ambacho wengine hawana! WIZI MTUPU!!!!
 
Channel zao hizi hapa: nimezitoa kwenye facebook yao: anayebisha atupe na details (mi sina king'amuzi hicho) na wala sina mpango nacho...i will just sticky with my DSTV ..ingawa bei maumivu ila napata vitu vya uhakika..kama leo wametoa open weekend nakula sports tu....

Channels:
Star TV, ITV, Channel 10, Capital TV, EA TV, Citizen TV, TBC, VOA, France 24, DW, Clouds TV

Up Coming: (hizi itakuwa ndo wameziongeza hivi karibuni labda kama zishaanza kuonekana maana hapa inaonekana ilikuwa ni list kabla hawaja update)

Kidsco,
BBC World News,
TLC (Travel & Living Channel),
Discovery ID,
Discovery Science,
Aljazeera,
African Movie Channel,
Hope TV,
Zing Music,
Zee Cinema,
CCTV4,
CCTV9,
CCTV News.
 
Leo nimeJiunga na familia ya King'amuzi cha Continental Tsh. 95,000/ tu, baada ya kuunganisha kwa kweli kimenifurahisha sana, picha zinaonekana vizuri, hakina chenga chenga, nimerekodi kipindi nitakiangalia baadae usiku, kwa kweli imenibidi nitoe na nitunze Star-times nilichokinunua Tshs. 45,000/ nimechoka na NO SIGNAL.

Mi niko na StartTimes yangu hapa nimechakachua bila malipo ya mwezi nangaia channels ATN,ATN2,setanta africa,setanta action,ewtn,aljazeera,tbn,smile of child,hope,zee cinema,nat geo gold,jctv,madani,cnn,fox,press tv,muvi tv africa,k24,emannuel tv,colors,fashion tv,tbc1,star,chten,eatv,itv,clouds tv,tumaini tv na nyingine ambazo zipo kwenye list but hazionekan and bado nipo lab kuhakikisha naona mpaka super sport via Star times ngoja niendelee kuchimba ....sihami star times..
 
zipo 24, za ndani zote yaan itv, star tv, eatv, channel ten yaan ni nyingi za nje ni nyingi siwezi orodhesha zote hapa, malipo kwa mwezi hakuna
zipo nyingi siwezi oredhesha ....zipo 24!!!!1????????
 
Leo nimeJiunga na familia ya King'amuzi cha Continental Tsh. 95,000/ tu, baada ya kuunganisha kwa kweli kimenifurahisha sana, picha zinaonekana vizuri, hakina chenga chenga, nimerekodi kipindi nitakiangalia baadae usiku, kwa kweli imenibidi nitoe na nitunze Star-times nilichokinunua Tshs. 45,000/ nimechoka na NO SIGNAL.

niuzie mimi hicho startimes
 
Back
Top Bottom