B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Leo nimeJiunga na familia ya King'amuzi cha Continental Tsh. 95,000/ tu, baada ya kuunganisha kwa kweli kimenifurahisha sana, picha zinaonekana vizuri, hakina chenga chenga, nimerekodi kipindi nitakiangalia baadae usiku, kwa kweli imenibidi nitoe na nitunze Star-times nilichokinunua Tshs. 45,000/ nimechoka na NO SIGNAL.