Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

Karudi kuwashika, vyupi vinaanza kuwabana huko!
Tunaomba neno tena toka kwa aijipii kuhusu kurudi kwa account hiyo, maana ilipopotea alitoa neno
 
You shallow minded..unaangalia vitu on the surface...unapaswa kuwa analytic (kaa kimya nakufundisha)..unapaswa kuangalia kama hao watu wamepost utumbo kama uliopost wewe au ni sensible comments
Hivi kama comments are nonsense huoni wamejifunza kwa wale wanaoshangilia akiongea magufuli au unaonaga akiiongea cha maana wakati watu wanashangilia
 
What if kama insta wenyewe walimwambia account yako itarudi kuanzia tr. 15?

Hujawahi kurenew line wakakwambia account yako ya pesa itakua activated baada ya SAA 72?
Mkuu utapata kazi kumuelekeza mtu ambaye hayuko tayari kuelewa.
 
Maskini LEMUTUZI waga anawish sana angekuwa na ushawishi na umaarufu alionao MANGE ila ndo hivo tena ye ataishia kumpost makondakta tu utazani yeye ndio mwenye account kila baada ya post 2 ya 3 ni makondakta
 
Mange alicheza mchezo wa kuiblock account yake ili apoteze kiki ya Wema kurudi CCM ili nililiona kitambo sana na amefanikiwa. wengi waliacha habar za Wema nakuanza kumuongelea Mange kwa vitu tofauti wengi walisema kwamba Mange kanunuliwa na CCm.


Na Jinsi alivo rudi kama ww zuzu uwezi kugundua. Alisema Tarehe 15 nitarudi hewani na kweli amerudi ahahaha Mange.
MANGE SIO EXPANSION JOINT LENU WEMA WE KAHABA ZEE ANATUPIGANIA CC TUNAOKOSA FREE SPEECH !NISEHEMU MBILI TU HAPA JAMII FORUM NA ACCOUNT YA MANGE INST.BAS KAMA VP NENDA TBC HUKO KWAKO
 
watz bhana, haya ndipo tulipofika.....


kubali au kataa she is Tanzanian hero right now... kwa nini ?

yeye amekua sauti ya wanyonge, yeye ndiye pekee ana ubavu wa kusimama na kuisema serikali tukufu kwa mabaya/mazuri inayofanya bila woga wowote ... pengine kuwa kwake nje ya nchi kumemsaidia sana....

huyu mtu anapenyezewa habari nyeti sana ndani ya serikali na watu(wa serikali wengine watu wa system) wasiowaaminifu au waliochoka kwa utawala dhalimu.....

huyu mtu ni miongoni mwa watu wanaofatiliwa sana mtandaoni kwa tz, kubali kataa, na inawezekana ni yeye anaefatiliwa zaidi, hapa pia haijalishi namba ya followers alionao, kumbuka kuna wale wanaokuja wanachungulia page yake na kuondoka kuangalia nini kilichojiri nchini....angekua anaweka namba ya insight tungeshangaa watu wanaotembelea page yake, hapa hata viongoz kibao wa serikali wanamfatilia kimya kimya na user name fake ili wasijulikane......

anajua kucheza na mind za watu,anauwezo wa kuitngeneza hoja ya uongo na kuitetea watu wakaamini////

cha muhimu ni kwamba sio kila anachosema ki kweli au uchukulie siriaz, japo vingi anavyosema ni kweli, pia mmbea flani pia mshari, omba asikuchukie... anavyovisema vina ukweli 70%
AGIZA SODA KWA MANMGI NALIPA
 
Hahaha anajiita mchepuko wa Sirro , kamnanga sirro kwamba hata atembee uchi makaburini hawamuwezi kumfungia akaunti yake
 
Back
Top Bottom