Hatima ya waliokosa mkopo kutoka heslb

Neilntan

Member
Oct 21, 2013
18
0
Nashangaa na ninazidi kujiuliza kila siku, JE ni nini hatima ya wale waliokosa mkopo ambao Form zao za kuombea mkopo hazikuwa na kasoro?
Je kwa wale walioandikiwa NOT ELIGIBLE wanaishia wapi?
Je hawana haki?
Je hao sio watanzania?
Je wote wanauwezo wa kujilipia?
Je wana JF mnalionaje hilo?
 
Kiukwel me nahisi hii Bodi ya mikopo ni vimeo sana, inakuwaje ikawafikilia zaidi waliokosea kujaza form na kuwasahau kabisa ambao wamejaza vizuri.

Halafu wanasema NOT ELIGIBLE kisa umemaliza diploma/Form VI more than 3yrs ago cha kushangaza kuna mtu kamaliza 1980 amepata mkopo hii ni halali kweliiiiiii jamani? Kama vp Bodi Ijiudhuru tu maaana full mizinguo aisee. nina HASIRA NAO
:frusty:
 
Wala msishangae kuna wizi ulitokea ndani kwa ndani, kuna kidada cha IT na kibrother fulani viliiba pesa za bodi nyingiiii, vikasimamishwa. so vimeleta kashikashi na mtikisiko kwa bodi. sa hivi vinashughulikiwa. vimesababisha hadi ajira pale zisimame maana nazo zilikuwepo. vuta subira kidogoo.
 
Bodi kumeoza na kuna nuka sio utendaji wa kazi tu ata rushwa imetawala,Matatizo utamweleza nani tanzania kama demu wa mtungo,hawa jamaa wanajiona mungu watu hawaogopi mtu wapo kama hawatakuja kuzaa au hawana watoto,wanajibu vibaya sana si wanaume wala wanawake tabia zao moja,hawana utu kabsa tumetembea wiki nne barabarani mpaka tukakutana na kamati ya maendeleo ya jamii chini ya mwenyekiti Mh.Magreti Sitta kuomba msahada,pesa imetolewa lakini hzo pesa wanakula wao na familia na mademu zao.wakti mimi masikini ninashnda njaa,wao wanakula,wakati nina hangaika juani wao wapo wanakula kiyoyozi,usiku nawaza nitapitia wapi kesho yake kutafuta msaada wao wamelala na waume zao/wake zao.pesa imetolewa kwa juhudi zetu wao wanachukua na kujaza matumbo yao MAFISADI WAKUBWA.Nchi hii mafisadi ni wengi HAKUNA HAKI HATUWEZI PATA MAENDELEO kwa kukumbatia mafisadi.njia yoyote itaftwe kushughulikia MAFSADI HAWA..
 
i feel u bro, pole sana..i know what ur goin through coz me pia ni mhanga wa hiyo kitu...nchi hii haina haki warudishe basi hata izo elfu thelathin zetu aaargh..
 
i feel u bro, pole sana..i know what ur goin through coz me pia ni mhanga wa hiyo kitu...nchi hii haina haki warudishe basi hata izo elfu thelathin zetu aaargh..

Labda twaweza jipooza nazo na zitufute machozi
 
Poleni wote tuliokosa mkopo,mimi ni kiongozi wa lile kundi la watu thelathini na 32,tuliokutana na kamati ya maendeleo ya jamii ya Mwenyekiti Mh.Magreth Sitta kuomba na kuishinikiza serikali kutupatia ada ya chuo,tuliangaika sana wiki nne barabarani ila mwishowe ikatolewa bilion 3.1,huwezi amini na juhudi zote jina langu halpo kwa wategemewa wa mkopo,hivyo basi kwa moyo mpya nimeamua kuanzisha harakati nyingine ambayo itawashilikisha wakuu wa nchi hii hadi Mh.Rais,ninaimani sana bodi wanafanya mambo kinyume hawako kwa masilahi ya wanafunzi na umma wapo kwa masilahi yao,hivyo basi kwa yeyote anayejua kuwa suala la yeye kukosa mkopo kwake ni hujuma na hajalidhka na maamuzi ya bodi mfano kupewa sababu feki kama kumaliza shule miaka mitatu nyuma na sio kweli,kutuma fomu ya maombi bodi na yeye kuambiwa hajatuma na wakati una list ya EMS,kutukanwa na wafanyakazi wa bodi kwa aina yoyote ile tafadhali tuwasiliane kupitia 0712177649,tushrikiane kwa ili.HAKI INACHELEWESHWA ILA HAIDHULUMIWI.
 
Back
Top Bottom