Hati ya Talaka ya Bi Mshumbusi hiii hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hati ya Talaka ya Bi Mshumbusi hiii hapa.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mzee wa Rula, Jul 17, 2012.

 1. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
 2. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  so what next?
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Umesoma link niliyokupa lakini?????

  Ni aibu kwa mumewe kupeleka pingamizi wakati anajua kabisa alichamuacha????? Upooooo?

  Na kwa lugha nyingine kama Dr. Slaa hana ndoa aliyofunga kanisani basi kumbe hakuna pingamizi lolote zaidi ya kutaka kuchafuana kisiasa tu.
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Siasa zetu za siku hizi bwana...zimejaa komedi tu
   
 5. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na ile ya SLAA na mwenziwe je?
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmmmmmmmmmh
   
 7. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Dates mbona ni mpya na madame anasema kidume kinachapa mzigo mwaka wa nne sasa, when dots connected inamaana watu wanakula mzigo kitambo na jamaaa kakubali matokeo manake hata uking'ang'ania wajanja wanachapa na mwenye kisu ndio mlanyama.

  How comes madame wa mwanza, ex wa same na court of jurisdiction iwe manzese kama sio kuweka rekodi sawa ni nini jamani.
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  makubwa hayo..........
   
 9. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Tangu lini ndoa ya kikristo ikavunjika? Tena kwa taraka? Ndoa ya Mshumbusi haijavunjika hivyo Padri Slaa anafanya dhambi ya uzinzi.
   
 10. L

  Lindongo Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hii ndio BONGO
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ndoa ya kikristo inaweza kuvunjika kwa sababu ya uzinzi kama wa mumeo Mushumbusi ulivyoelezewa katika link ile ya Globalpublishres
   
Loading...