Hati ya Muungano inatambua serikali 3, kwanini CCM mlitudanganya miaka yote hii?

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
11,093
28,909
Kutoka Kwa Zitto Kabwe,

Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano.

Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya?

Ili muungano ueleweke Kwa wananchi ccm hakikisheni mnafuata makubaliano yaliopo kwenye hati ya Muungano.
 
Mwenye hati ya muungano anisaidie.
Screenshot_20240502-171055.png
 
Kutoka Kwa Zitto Kabwe,

Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano.

Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya?

Ili muungano ueleweke Kwa wananchi ccm hakikisheni mnafuata makubaliano yaliopo kwenye hati ya Muungano.
Watanganyika mna shida sana. Sisi tunajivunia Uzanzibari wetu.
 
Wapi alipotamka Zitto Kabwe? Mwenye hati ya Muungano atusaidie kuweka hapa. CCM wanasema nini kuhusu madai haya?
 
Kutoka Kwa Zitto Kabwe,

Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano.

Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya?

Ili muungano ueleweke Kwa wananchi ccm hakikisheni mnafuata makubaliano yaliopo kwenye hati ya Muungano.
Honestly
Amewezaje kuiona hati ya Muungano ambayo inalindwa kwa hadhi kubwa?
 
Keelele za katiba mpya kwisha

Kelele za tume huru kwisha

Kelele za muungano zinaenda mwisho

Tutafute kingine...

Na hivi ndivyo watanzania tunatatua matatizo yetu kwa ustadi wa Hali ya juu
 
Watanganyika mna shida sana. Sisi tunajivunia Uzanzibari wetu.
Hamna mamlaka kamili hivyo tusaidiane kupambania serikali tatu ili zanzibar ijikomboe kwenye makucha ya Tanganyika iliyojivika jina la Tanzania bara. Tukishinda kwa pamoja, Tanganyika itaonekana na zanzibar huru yenye mamlaka kamili na uwezo wa kukopesha na pia sisi wa michezo FIFA kuitambua zanzibar tofauti na sasa ambapo ulaya ya kimpira ya wachezaji wa zanzibar ni Tanganyika.
 
Safi Tanzania irndelee kuwa muungano ndani yake kuwe na serikali ya Tanganyika na zenji

Zile hoja za kipuuzi kuhusi gharama hazina mashiko, mbona CAG Kila mwaka anasema zaidi ya tril.5 zinapotea

Gharama ya kuendesha serikali ya muungano haiwezi kuzidi tri 2 ambazo tunazimudu.

Tukiwa na serikali ya Tanganyika hata mzanzibari akiwa raisi wa muungano milele haitusumbui
 
Back
Top Bottom