Haters wa Kikwete hili linawahusu

Haters wa Kikwete hili linawahusu

Huko sauzi walimtambulisha kama Dokta. Dokta. Dokta. Kikwete?
 
Mwanamke mdini wewe hívi yakitokea machafuko ya kidini una pakwenda tayari angalia comments zako unazotoa nchi ni yetu zote udini haulipi.

Wewe ndio mdini namba moja hii comment ya huyu dada ina udini gani hapo? Au una chuki zako binafsi
 
uko serious ama unatania?,kila mtu mwenye akili timamu anajua kuwa africakusini na ,kihistortanzania wana special relationshipia,ndo maana hata bendera yao ya taifa na wimbo wao wa taifa karibu ufanane.

Pia ujue africakusini ilipata kuitwa azania.

bora uwafahamishe wengi huku hawajui historia..............""............""
 
Huko sauzi walimtambulisha kama Dokta. Dokta. Dokta. Kikwete?

Lazima wseme Dokta si unajua nchi yake ndiyo maarufu duniani kwa kusambaza madawa? Wao wenyewe wanjua ni kiasi gani cha shehena wamekamata toka kwa watz na hata mtoto wa kigogo wa CCM kahamia huko huko ili kurahisisha usambazaji wa dawa. Sasa wanaotengeneza dawa ni wafamasia ambao pia huitwa madokta, kwa hiyo Raisi wa madokata si na yeye ni Dokta?
 
Umaarufu wake nje ya nchi hautusaidii sisi. Nchi ameifanya jamvi la wageni lazima wampende.

We fikiria makaburu wamevuna vingapi toka Tanzania na wanaendelea kuvuna? Lazima wamsifie anaye wawezesha kuvuna tena kwa msamaha wa kodi.
 
Hapendi visasi hata kidogo ila babu seya na mwanaye wapo ndani balozi mahalu alifunguliwa kesi kina mramba kesi inaendelea liyumba kifungo chake kamaliza na mengineyo mengi yanathiirisha kikwete hapendi visasi hata kidogo
 
kutokana na urithi aliotuachia Nyerere, hata tuwe na rais mbovu vipi atapewa heshima kubwa S.A
 
Pengine wangetumia kidhungu asinge elewa reffered speech yake ziara ya Obama ung'eng'e unangonga gonga.
 
Molembe naona wewe ndio mdini,kuna sentensi gani inaonyesha udini ndugu?
Nafikiri unamatatizo ya kufikiri.......read between lines then uonyeshe udini uko wapi?ACHA CHUKI wewe
Mwanamke mdini wewe hívi yakitokea machafuko ya kidini una pakwenda tayari angalia comments zako unazotoa nchi ni yetu zote udini haulipi.
 
Acheni sifa za kijinga!

Juzi tu hapa mvua kidogo imenyesha jiji halipitiki.

Watu tumekaa kwenye foleni zaidi ya masaa sita alafu wewe unasifia upuuzi?

We unaishi bongo kweli??

Watu tumechoka sana bongo kila kitu ni taabu "dadada foxy"

ukienda mikoani ni balaa tupu,

hata kama unalipwa buku 7 kwa post nina hakika hazikutoshi bado.

Nini kinakutia upofu??

nilisikia, katika marais wote waliokuwa wakitajwa majina, ni kikwete pekee aliyepewa heshima hiyo.
 
Acheni sifa za kijinga!

Juzi tu hapa mvua kidogo imenyesha jiji halipitiki.

Watu tumekaa kwenye foleni zaidi ya masaa sita alafu wewe unasifia upuuzi?

We unaishi bongo kweli??

Watu tumechoka sana bongo kila kitu ni taabu "dadada foxy"

ukienda mikoani ni balaa tupu,

hata kama unalipwa buku 7 kwa post nina hakika hazikutoshi bado.

Nini kinakutia upofu??

ID yako inatosha kuonesha wewe u mtu wa aina gani. Nyie ndio wale mliotumwa kuja kupunguza makali JF? au wale "wasomi" wa Nyegezi aliokutana nao Mbowe Hoteli.

cc Tuko
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom