Haters wa Kikwete hili linawahusu

Haters wa Kikwete hili linawahusu

"Karibu jamaa yetu"[/QUOTE]

alisema hivyo akimaanisha watanzania na sio kikwete
 
Sifa zote hizo ni kutokana na JK Nyerere. Kilichonifurahisha na pia ni somo kwetu nipale Obama alipotoa hutuba ambayo aliwakumbuka na kuwaenzi marais wakwanza wa US, kuwa ni mfano wa Mdiba.
 
Kikwete kila mtu ni ndugu yake teh teh teh

Kesho tegemea tamko rasmi kutoka Magogoni
 
Kama binadamu naweza kumchukia kwa mambo mengine,lakini mambo yafuatayo Kikwete atakumbukwa na Watz wengi,hasa waliopo maeneo ya pembezoni kwa kuwa ameyafanya kwa vitendo:
Kuunganisha maeneo mengi ya nchi kwa barabara za changarawe na lami
Kupeleka umeme katika maeneo mengi ya nchi.
Utekelezaji wa miradi mingi ya maji ambapo kila Halmashauri ya Wilaya imepata wastani wa vijiji 10 kupitia programu ya maji vijijini (NRWSSP).
 
Najua wengi hamkupata nafas ya kuangalia ugeni wa leo kule bondeni,ila ni kwamba MC wa leo alipolitaja jina la president wetu,alitamka na haya maneno

"Karibu ndugu yetu"

Umaarufu wake nje ya nchi hautusaidii sisi. Nchi ameifanya jamvi la wageni lazima wampende.
 
kama binadamu naweza kumchukia kwa mambo mengine,lakini mambo yafuatayo kikwete atakumbukwa na watz wengi,hasa waliopo maeneo ya pembezoni kwa kuwa ameyafanya kwa vitendo:
Kuunganisha maeneo mengi ya nchi kwa barabara za changarawe na lami
kupeleka umeme katika maeneo mengi ya nchi.
Utekelezaji wa miradi mingi ya maji ambapo kila halmashauri ya wilaya imepata wastani wa vijiji 10 kupitia programu ya maji vijijini (nrwssp).

big like for you
 
kikwete ni kiongozi wa watu.
Asiependa visasi.
Mwenye ubinadamu.
Mpoe.
Mkarimu.
Mcheshi.
Mchapakazi.
Hana maneno mengi zaidi ya vitendo.
Your highness Live longlife.
Mtu wa visasi ameanza kujihami
 
kikwete ni kiongozi wa watu.
Asiependa visasi.
Mwenye ubinadamu.
Mpoe.
Mkarimu.
Mcheshi.
Mchapakazi.
Hana maneno mengi zaidi ya vitendo.
Your highness live longlife.

amen!!
 
Mwanamke mdini wewe hívi yakitokea machafuko ya kidini una pakwenda tayari angalia comments zako unazotoa nchi ni yetu zote udini haulipi.

Sasa hapo udini gani aliouweka? Grow up bro...
 
kikwete ni kiongozi wa watu.
Asiependa visasi.
Mwenye ubinadamu.
Mpoe.:A S-confused1:
Mkarimu.
Mcheshi.
Mchapakazi.
Hana maneno mengi zaidi ya vitendo.
Your highness Live longlife.
Lazima wewe ni msambaa
 
Back
Top Bottom