Hatari ya Simba Tegeta.....

hiyo zuu niliwahi kwnda kipindi fulani, nikakuta simba wamejawa na mainzi machoni hadi huruma, inawezekana kuna utunzaji dhaifu wa wanyama hao...... mpaka mnyama anatoroka wao walikuwa wapi?
poleni sana...
hamieni kwetu charambe simba tushawazoea....
 
Mie nawalaumu hao waliowapa vibari wajenge zoo ya wanyama wakari kwenye makazi ya watu,ebu nenda DarZoo-kisalawe kigamboni uone ilivyo nje ya makazi ya watu,cha msingi The Boss na wakazi wa huko fungueni kesi muishitaki serikali ya mtaa kuruhusu hilo zoo lifanye kaze huku maisha ya wananchi yakiwa hatarini.
 
.....Au kinywaji!!!

e32362.jpg

Hahahahahahaha! Khaa!

Jamaa halitaki kuwa kisusio na bia halitaki kuacha. Manina walahi!
 
i love jf jamani lol!!!!!!!!!!!!!!!!

Sina hakika sheria zinazo-regulate zoo and animal sanctuaries zinatakaje. But ushauri wangu ni kuwa the boss uangalie website ya maliasili na kutuma email uwaeleze concerns zako.

Waandishi wa habari mliomo humu mngeweza kuongelea hili. Na hao simba wanawaonea watu wa tegeta mko nyoronyoro, kuna yule alijiletaga huku kwetu mbagala tulimrarua tukapata vitoweo vya mwezi mzima! Ilikuwa kila siku pilau-thimba!
 
Acha watanzania waliwe na simba maana wanafiki. Hili eneo cha ajabu ni kwamba linakaliwa na watu mashuhuri wengi sana tena maarufu na wasomi, lakini waogo kuliko kawaida wamejaa unafiki. Hii zoo imeshaonesha matatizo kibao, uzembe wa hali ya juu na kukosa utaalamu kwa hali ya juu. Si simba tu wakati ule wa mvua kubwa na mafuriko mamba wa size ya kuua nyumbu aliondoka na maji, sijui kama alipatikana wengine wanasema alikutwa amekufa kwa kutumbukia somewhere, ni kudra ya mungu tu. Wilderbeast/Nyumbu mkubwa kama gari la canter alitoka akaanza kudengu barabarani watoto wakakimbia hovyo wengine wakataka kugongwa na magari, bahati nzuri akakimbilia boko uswahilini wananchi wakamuua wakagawana nyama na tukio likaripotiwa serikali ya mtaa lakini mwenyekiti akatataka eti watu waweke maandishi na kutia sahihi, hapo ndio ikawa shida. Hiyo zoo haina professianals, hiyo siku ya tukio nasikia kulikuwepo wafanyakazi wawili unskilled ndio waliokua wakwanza kutoka mbio. Hata hivyo tunawapongeza sana ITV maana kukosa kujitokeza swala hili lingezimwa kama tulivyomuona mtoto kakumbatiwa na mama mwenye zoo eti kwa upendo, huyo binti mwenyewe mwenye mtoto aliyetaka kulliwa nasikia alikua mfanyakazi wa huyo mandege. Na inakuaje eti hapo hakuna hata bunduki za kulevya wala za moto, kwa hiyo simba akiamua kukushughulikia ni mpaka anakumaliza. Cha ajabu ni kwamba siku yenyewe ya tukio pale pale mabasi kadhaa yaliyoshena watoto wa shule yalionekana yakiwamwaga watoto pale, mpaka leo hatujasikia lolote juu ya nini kimefanyika ku re inforce hiyo security system, hatujaona polisi wakifuatilia, kuhoji wala kufika eneo la tukio, wamehongwa kitu kidogo, wameshiba, na cha msingi hata hiyo zoo haipo kwenye ramini ya mipango miji, tunasikia huyu kusaga alipewa kibali na apiyo wakati huo akiwa waziri kishikaji tu, si kitu amekula ameshiba sasa afunge zoo ahamishie kwingine. lakini pia mimi ni mtaalamu wa wanyama posi by training, wale simba hata ukiwaona kwenye picha unaona kabisa wamekondeana na wana njaa, uchunguzi mdogo nilioufanya kupitia majirani ni kwamba mlo wa wao ni wa shida kubwa sana. Pili hata hiyo hospitali aliyopelekwa huyo mtoto aliyekumbatiwa na simba ni ya kichochoro kwa ajili ya first aid, hakujathibitika kuwa yule mtoto alipelekwa hospitali yenye vifaa ya kufanya uchunguzi zaidi juu ya madhara yake, vitu kama uti wa mgongo, nk ambavyo vinaweza kujitokeza baadae na kuhatarisha maisha ya huyu mtoto. Ushauri wangu, wakazi wa ma saiti kama wanajitaka waache kucheza na huyu bwana mandege maana hivi punde watabaki midomo wazi. Cha kushangaza eti siku ya tukio yeye na familia yake walikua kusali sabato, simu zote wamefunga hazipatikan, lakini biashara wamefungulia, huu ni usabato wa wapi jamani? Mzee huwezi kumpenda mungu kuliko watoto wajirani zako hata kama waliku wafanyakazi wako, toa hiyo zoo kabla watu hawajaitoa. Je angetaka kuliwa mtoto wako bado ungeendelea kufanya hivyo. Niliwasikia jirani zako wanasema usiposikia watakuhamisha
 
[B Asprin Asprin Asprin
kila nikisoma comment zako nasmile peke yangu...[/B]
Si ndio maana nimekuchagua wewe BADILI TABIA uwe wangu ili nikupe raha?

Ila kiukweli Bia naipenda lakini kuliwa na simba akuu.... dude lina roho mbaya lile linaanza kutafuna kikojoleo, linahamia makalio, then tumbo kabla hujaRIP...... afu linamalizia shingoni kukufyonza damu. Pumbaf sana Simba... shenzy taip

Ila hili limjamaa limenizidi kwa kupenda bia asee. manina zake walahi!

e32362.jpg
 
Last edited by a moderator:
Acha watanzania waliwe na simba maana wanafiki. Hili eneo cha ajabu ni kwamba linakaliwa na watu mashuhuri wengi sana tena maarufu na wasomi, lakini waogo kuliko kawaida wamejaa unafiki. Hii zoo imeshaonesha matatizo kibao, uzembe wa hali ya juu na kukosa utaalamu kwa hali ya juu. Si simba tu wakati ule wa mvua kubwa na mafuriko mamba wa size ya kuua nyumbu aliondoka na maji, sijui kama alipatikana wengine wanasema alikutwa amekufa kwa kutumbukia somewhere, ni kudra ya mungu tu. Wilderbeast/Nyumbu mkubwa kama gari la canter alitoka akaanza kudengu barabarani watoto wakakimbia hovyo wengine wakataka kugongwa na magari, bahati nzuri akakimbilia boko uswahilini wananchi wakamuua wakagawana nyama na tukio likaripotiwa serikali ya mtaa lakini mwenyekiti akatataka eti watu waweke maandishi na kutia sahihi, hapo ndio ikawa shida. Hiyo zoo haina professianals, hiyo siku ya tukio nasikia kulikuwepo wafanyakazi wawili unskilled ndio waliokua wakwanza kutoka mbio. Hata hivyo tunawapongeza sana ITV maana kukosa kujitokeza swala hili lingezimwa kama tulivyomuona mtoto kakumbatiwa na mama mwenye zoo eti kwa upendo, huyo binti mwenyewe mwenye mtoto aliyetaka kulliwa nasikia alikua mfanyakazi wa huyo mandege. Na inakuaje eti hapo hakuna hata bunduki za kulevya wala za moto, kwa hiyo simba akiamua kukushughulikia ni mpaka anakumaliza. Cha ajabu ni kwamba siku yenyewe ya tukio pale pale mabasi kadhaa yaliyoshena watoto wa shule yalionekana yakiwamwaga watoto pale, mpaka leo hatujasikia lolote juu ya nini kimefanyika ku re inforce hiyo security system, hatujaona polisi wakifuatilia, kuhoji wala kufika eneo la tukio, wamehongwa kitu kidogo, wameshiba, na cha msingi hata hiyo zoo haipo kwenye ramini ya mipango miji, tunasikia huyu kusaga alipewa kibali na apiyo wakati huo akiwa waziri kishikaji tu, si kitu amekula ameshiba sasa afunge zoo ahamishie kwingine. lakini pia mimi ni mtaalamu wa wanyama posi by training, wale simba hata ukiwaona kwenye picha unaona kabisa wamekondeana na wana njaa, uchunguzi mdogo nilioufanya kupitia majirani ni kwamba mlo wa wao ni wa shida kubwa sana. Pili hata hiyo hospitali aliyopelekwa huyo mtoto aliyekumbatiwa na simba ni ya kichochoro kwa ajili ya first aid, hakujathibitika kuwa yule mtoto alipelekwa hospitali yenye vifaa ya kufanya uchunguzi zaidi juu ya madhara yake, vitu kama uti wa mgongo, nk ambavyo vinaweza kujitokeza baadae na kuhatarisha maisha ya huyu mtoto. Ushauri wangu, wakazi wa ma saiti kama wanajitaka waache kucheza na huyu bwana mandege maana hivi punde watabaki midomo wazi. Cha kushangaza eti siku ya tukio yeye na familia yake walikua kusali sabato, simu zote wamefunga hazipatikan, lakini biashara wamefungulia, huu ni usabato wa wapi jamani? Mzee huwezi kumpenda mungu kuliko watoto wajirani zako hata kama waliku wafanyakazi wako, toa hiyo zoo kabla watu hawajaitoa. Je angetaka kuliwa mtoto wako bado ungeendelea kufanya hivyo. Niliwasikia jirani zako wanasema usiposikia watakuhamisha

Mkuu una point sana, lakini unaonaje ukiedit hii makitu ukaweka paragraphs?
 
hata yule simba aliyekuja kutalii huku kwetu Mbagala akiwa na mkewe, tulimalua mara moja. Hata maafisa wa maliasili walipofika mtaani walikuta manyoya na matone ya damu tu.
Usinikumbushe mkuu maana unanipa machungu, kwa kuwa mimi niliambulia mkia tu, nyama zote wakabeba wengine.
 
ukiona hivyo ujue kuna mkono wa "wakubwa" au watu washalamba 10%.....
simba wenyewe wamekondeana, kama hawawezi kuwatunza si wawarudidhe mikumi wakale swala?

Acha watanzania waliwe na simba maana wanafiki. Hili eneo cha ajabu ni kwamba linakaliwa na watu mashuhuri wengi sana tena maarufu na wasomi, lakini waogo kuliko kawaida wamejaa unafiki. Hii zoo imeshaonesha matatizo kibao, uzembe wa hali ya juu na kukosa utaalamu kwa hali ya juu. Si simba tu wakati ule wa mvua kubwa na mafuriko mamba wa size ya kuua nyumbu aliondoka na maji, sijui kama alipatikana wengine wanasema alikutwa amekufa kwa kutumbukia somewhere, ni kudra ya mungu tu. Wilderbeast/Nyumbu mkubwa kama gari la canter alitoka akaanza kudengu barabarani watoto wakakimbia hovyo wengine wakataka kugongwa na magari, bahati nzuri akakimbilia boko uswahilini wananchi wakamuua wakagawana nyama na tukio likaripotiwa serikali ya mtaa lakini mwenyekiti akatataka eti watu waweke maandishi na kutia sahihi, hapo ndio ikawa shida. Hiyo zoo haina professianals, hiyo siku ya tukio nasikia kulikuwepo wafanyakazi wawili unskilled ndio waliokua wakwanza kutoka mbio. Hata hivyo tunawapongeza sana ITV maana kukosa kujitokeza swala hili lingezimwa kama tulivyomuona mtoto kakumbatiwa na mama mwenye zoo eti kwa upendo, huyo binti mwenyewe mwenye mtoto aliyetaka kulliwa nasikia alikua mfanyakazi wa huyo mandege. Na inakuaje eti hapo hakuna hata bunduki za kulevya wala za moto, kwa hiyo simba akiamua kukushughulikia ni mpaka anakumaliza. Cha ajabu ni kwamba siku yenyewe ya tukio pale pale mabasi kadhaa yaliyoshena watoto wa shule yalionekana yakiwamwaga watoto pale, mpaka leo hatujasikia lolote juu ya nini kimefanyika ku re inforce hiyo security system, hatujaona polisi wakifuatilia, kuhoji wala kufika eneo la tukio, wamehongwa kitu kidogo, wameshiba, na cha msingi hata hiyo zoo haipo kwenye ramini ya mipango miji, tunasikia huyu kusaga alipewa kibali na apiyo wakati huo akiwa waziri kishikaji tu, si kitu amekula ameshiba sasa afunge zoo ahamishie kwingine. lakini pia mimi ni mtaalamu wa wanyama posi by training, wale simba hata ukiwaona kwenye picha unaona kabisa wamekondeana na wana njaa, uchunguzi mdogo nilioufanya kupitia majirani ni kwamba mlo wa wao ni wa shida kubwa sana. Pili hata hiyo hospitali aliyopelekwa huyo mtoto aliyekumbatiwa na simba ni ya kichochoro kwa ajili ya first aid, hakujathibitika kuwa yule mtoto alipelekwa hospitali yenye vifaa ya kufanya uchunguzi zaidi juu ya madhara yake, vitu kama uti wa mgongo, nk ambavyo vinaweza kujitokeza baadae na kuhatarisha maisha ya huyu mtoto. Ushauri wangu, wakazi wa ma saiti kama wanajitaka waache kucheza na huyu bwana mandege maana hivi punde watabaki midomo wazi. Cha kushangaza eti siku ya tukio yeye na familia yake walikua kusali sabato, simu zote wamefunga hazipatikan, lakini biashara wamefungulia, huu ni usabato wa wapi jamani? Mzee huwezi kumpenda mungu kuliko watoto wajirani zako hata kama waliku wafanyakazi wako, toa hiyo zoo kabla watu hawajaitoa. Je angetaka kuliwa mtoto wako bado ungeendelea kufanya hivyo. Niliwasikia jirani zako wanasema usiposikia watakuhamisha
 
Dah! Umenikumbusha kipindi kile Simba alipotoroka. Kiwango cha unywaji bia kilishuka. Saa 12 bar zote za maeneo ya Tegeta zilikuwa zinafungwa. Usipofunga atakunywa nani?

Imesababisha kila napochelewa kurudi home wife ananiambia "NATAMANI SIMBA ATOROKE TENA" lol

hahahaha kumbe simba ndo kiboko yenu eeh...hahhahah
 
Inashangaza mtoto mdogo kapataje nafasi kwenda kufungua mlango, inasemekana mlango wenyewe ulikuwa umerudishwa tu haukufungwa.

KUMBE HATA MLANGO WA SIMBA HUWA UNARUDISHIWA TU? HII KWANGU KALI.

Halafu hii zoo ni ya long time but ni kweli haijajifunza kwa miaka yote?
 
Back
Top Bottom