Dah! Umenikumbusha kipindi kile Simba alipotoroka. Kiwango cha unywaji bia kilishuka. Saa 12 bar zote za maeneo ya Tegeta zilikuwa zinafungwa. Usipofunga atakunywa nani?Tayari matukio mawili yametokea hapo Daresalaam Zoo Tegeta
na yanaonesha kiwango kikubwa cha uzembe wa wahusika
mwanzo ilikuwa Simba kutoroka kwa siku kadhaa kabla ya kupatikana
na la juzi ni mtoto wa miaka mitano
alie kwenda kutazama hao wanyama kunusurika kutafunwa na kujeruhiwa na Simba
baada ya wananchi wengine kumshambulia Simba kwa mawe....
sasa sijui tunasubiri nini kitokee kingine ndo tukubali kuwa hii Zoo ifungwe na iondolewe hapo
ni hatari kwa usalama wa wakazi wa hapo Tegeta na maeneo ya karibu yoote
kikubwa ni kuwa taratibu za usalama hazizingatiwi na wahusika....
tusisubiri hadi vifo vitokee...........wahusika wapewe shinikizo sasa.....ni hatari
Sijui mmliki ni nani.
Mi nilijua katoroka tena nianze kutembea na mkuki usiku
The Boss hiyo Zoo ni ya nani na iko Tegeta ipi? ni serious kweli lakini kama kawaida yetu kutotoa uzito stahiki kwa mambo ya muhimu.........hii kitu ni very serious kwa kweli
The Boss hiyo Zoo ni ya nani na iko Tegeta ipi? ni serious kweli lakini kama kawaida yetu kutotoa uzito stahiki kwa mambo ya muhimu.........
sijui ni ya nani
inaitwa Daresalaam Zoo....
ipo tegeta masaiti wanaita
Hiyo pia iko huku Kigamboni.....same name, something must be done
Nadhani hili sio jambo la kufumbia macho, kweli kuna haja ya kuikagua ile zoo kuongeza ulinzi kwa wale wanyama na pia kuhakikisha wateja hawadhuriki. Sijui mmliki ni nani.
hii kitu ni very serious kwa kweli