Hatari ya Nyoka kulala msituni..

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
..............
nyoka.jpg
 
Boflo are you fine? Hii kitu lazima uwe unaifanya maana mhh. Hizo picha nazo. hauoni kinyaa?
 
Jamaa alikuwa anafikiri anashika ya kwake nini, au ndio ushoga!!
 
Nashangaa kwa nini akuambie wewe kaka'ake. Inakuhusu nini wewe?

Halafu yule nyani bado yupo?

kwani kuna ubaya kupeana udaku mtu na dadaye?
Yule nyani hatulii.....mpaka apewe tunda ndio anatulizana
 
Hivi siku ile ulipomwambia ashuke alishuka?

Wewe Jamaa sikuwekei tena web cam.....ni jasusi wewe unaweza kunipeleka mabwepande...

na mm na sign out, naona Jf itanitia uchizi ....wacha niende beach nikabariz upepo wa bahari
 
pembe la ngombe halifichiki.hata kama kalewa ndo afanye hivyo,kuna usemi mmoja unaeleza kwamba ukitaka kujua tabia ya ndani ya mtu msubiri alewe.hiyo ndio tabia yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom