Hatari ya kulizwa? Acacia waanza kufungasha kiana, wauza mgodi wake wa South Houndé nchini Burkina Faso

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,494
113,590
Wanabodi,
Kama kawaida, information is power, mdeni wetu wa dola zaidi ya bilioni Kampuni ya Acacia, imeanza kufungasha virago kiana, kimya kimya, Kwa kuanza disposal ya assets zake huko kwingine.

Hii ni Press Release leo ya Acacia

PRESS RELEASES

Home > Media > Press releases > 2018
South Houndé Project Update
28 Nov 2018
Acacia has signed a binding conditional agreement with its partner, Sarama Resources Ltd. (“Sarama”) (TSX-V:SWA), to terminate the earn-in agreement in respect of the South Houndé Project (the “Project”) in south-western Burkina Faso. The termination of the earn-in agreement is conditional on definitive documentation being agreed by the parties before April 30, 2019.
Acacia’s divestment of South Houndé fits with the Company’s strategy of divesting certain non-core assets as part of an ongoing review of its exploration portfolio.
The agreement will allow Sarama to move to 100% ownership of the Project by making a payment of US$2 million in staged payments. Acacia will also receive US$2 million once commercial production commences and retain an improved net smelter return royalty (NSR) of 1-2%, based on a sliding rate basis on gold price received and a capped gold production of 1Moz Au. In addition, Acacia will be granted 5 million warrants for common shares in Sarama, exercisable for five years.
Acacia remains committed to exploration in Burkina Faso with various earn-in agreements still active and which provide exposure to approximately 2,000 km² of the prospective Houndé Belt.

South Houndé Project Update

Ukijijua kuna mtu unamdai mabilioni, hajalipa hata senti tano, ukisikia ameanza disposal ya assets zake mahali pengine popote, una kila sababu ya kujiuliza, why, ukiona mwenzako ananyolewa...
Baba mtu Barrick ndio huyo kaingia ubia na Mchina, sasa mtoto anaanza ku off load mzigo, kwanini tusijiulize?.

Kwenye corporate world, thamani ya biashara yoyote ni fixed assets, hivyo thamani kubwa ya Mgodi wa Acacia ni mali isiyo hamishika ikiwemo migodi, na mitambo. Fedha ni liquid assets, hazihesabiki sana, hivyo ukisikia tuu mtu anauza assets kuna mawili, ama anataka kufanya diversification na kwa kutafuta mtaji kujitanua zaidi, au ameanza kufilisika, hivyo anapunguza load ili aweze kuendelea kujibeba. Tanzania lazima tutafute sababu why, kama anauza ili kujibeba, akimaliza kwa Waburkinabe, inakuja zamu yetu na senti tano kipande hatujalipwa.

Sasa ukidaiwa deni kubwa ambalo halilipiki, namna ya kulikwepa deni hilo ni kwa kulikimbia.

Unaanza ku dispose off your assets kidogo kidogo, utakapo ona umefanikiwa kurecover investment yako ndipo unafanya full disposal kwa kutangazwa Acacia inauzwa. Kwa vile lile deni letu kwa Acacia ni unregistered anywhere, kwenye portfolio ya Acacia inayoonyesha assets na liabilities, hilo deni halipo, njia nzuri ya kuuza kisirisiri ni kuwakaribisha wabia wapya huku Acacia akiachia mdogo mdogo.

Ili kuhakikisha hatushtuki, baba mtu Barrick anaendelea kucheza na delaying tactics kwenye kuchelewesha mazungumzo.
By the time tunashtuka, Acacia ana declare bankruptcy. Kwenye corporate world Kampuni ni mtu, ikifa kwa kufilisika, madeni yote nayo yanakufa. Gharama za mitambo zitaweza kufidia wage bills za wafanyakazi and we loose every thing.

Hili ni angalizo to toka Kwa lumpen wa mambo ya biashara, naona kama kuna kila dalili ya kulizwa, na huku tukisubiri Noah zetu.

Paskali
 
Hakujapatikana bado serikali duniani zilizoweza kupambana na mabepari wanaomiliki sehemu kubwa ya rasilimali za dunia kwa mafanikio.

Hili la Acacia Mining PLC, kama tutaendelea kuweka ujinga na kibri mbele tutaumia sana. Mpaka sasa wao wameshikilia mpini, mambo yamekwama na mwishowe tutalipishwa fidia ambazo zingeweza kujenga kilometa za kutosha za barabara.

Tulikosea kuwaalika kwa kuweka KIBRI na Uchama (CCM) mbele. Tukapigwa.

Tukaingia kichwa kichwa kutaka malipo zaidi. Tukaweka tena KIBRI na uchama mbele. Tumeshapigwa tena.

Mara zote wanaoonyesha njia sahihi ya kupitia wanaitwa wachochezi na wasaliti.

Tatizo la hii nchi ni CCM.
 
Wanabodi,
Kama kawaida, information is power, mdeni wetu wa dola zaidi ya bilioni Kampuni ya Acacia, imeanza kufungasha virago kiana, kimya kimya, Kwa kuanza disposal ya assets zake huko kwingine.

Hii ni Press Release leo ya Acacia

PRESS RELEASES

Home > Media > Press releases > 2018
South Houndé Project Update
28 Nov 2018
Acacia has signed a binding conditional agreement with its partner, Sarama Resources Ltd. (“Sarama”) (TSX-V:SWA), to terminate the earn-in agreement in respect of the South Houndé Project (the “Project”) in south-western Burkina Faso. The termination of the earn-in agreement is conditional on definitive documentation being agreed by the parties before April 30, 2019.
Acacia’s divestment of South Houndé fits with the Company’s strategy of divesting certain non-core assets as part of an ongoing review of its exploration portfolio.
The agreement will allow Sarama to move to 100% ownership of the Project by making a payment of US$2 million in staged payments. Acacia will also receive US$2 million once commercial production commences and retain an improved net smelter return royalty (NSR) of 1-2%, based on a sliding rate basis on gold price received and a capped gold production of 1Moz Au. In addition, Acacia will be granted 5 million warrants for common shares in Sarama, exercisable for five years.
Acacia remains committed to exploration in Burkina Faso with various earn-in agreements still active and which provide exposure to approximately 2,000 km² of the prospective Houndé Belt.

South Houndé Project Update

Ukijijua kuna mtu unamdai mabilioni, hajalipa hata senti tano, ukisikia ameanza disposal ya assets zake, una kila sababu ya kujiuliza.

Kwenye corporate world, thamani ya biashara yoyote ni fixed assets, hivyo thamani kubwa ya Mgodi wa Acacia ni mali isiyo hamishika ikiwemo migodi, na mitambo. Fedha ni liquid assets, hazihesabiki sana.

Sasa ukidaiwa deni kubwa ambalo halilipiki, namna ya kulikwepa deni hilo ni kwa kulikimbia.

Unaanza ku dispose off your assets kidogo kidogo, utakapo ona umefanikiwa kurecover investment yako ndipo unafanya full disposal kwa kutangazwa Acacia inauzwa. Kwa vile lile deni letu kwa Acacia ni unregistered anywhere, kwenye portfolio ya Acacia inayoonyesha assets na liabilities, hilo deni halipo, njia nzuri ya kuuza kisirisiri ni kuwakaribisha wabia wapya huku Acacia akiachia mdogo mdogo.

Ili kuhakikisha hatushtuki, baba mtu Barrick anaendelea kucheza na delaying tactics kwenye kuchelewesha mazungumzo.
By the time tunashtuka, Acacia ana declare bankruptcy. Kwenye corporate world Kampuni ni mtu, ikifa kwa kufilisika, madeni yote nayo yanakufa. Gharama za mitambo zitaweza kufidia wage bills za wafanyakazi and we loose every thing.

Hili ni angalizo to toka Kwa lumpen wa mambo ya biashara, naona kama kuna kila dalili ya kulizwa, na huku tukisubiri Noah zetu.

Paskali
mkuu...
not rocket science. inevitable. was and is still bound to happen at some point or another.

Lissu alisema sana. tulioko kwenye corporate world tushasema haya with passion.

lakini Watanzania wapo busy na mapambio ya kusifu na kuabudu.

endeleeni kusubiri hivyo hivyo. watoto wa mujini hao wanasepa tartiiibu...
 
Unaanza ku dispose off your assets kidogo kidogo, utakapo ona umefanikiwa kurecover investment yako ndipo unafanya full disposal kwa kutangazwa Acacia inauzwa. Kwa vile lile deni letu kwa Acacia ni unregistered anywhere, kwenye portfolio ya Acacia inayoonyesha assets na liabilities, hilo deni halipo, njia nzuri ya kuuza kisirisiri ni kuwakaribisha wabia wapya huku Acacia akiachia mdogo mdogo.

Ili kuhakikisha hatushtuki, baba mtu Barrick anaendelea kucheza na delaying tactics kwenye kuchelewesha mazungumzo.
By the time tunashtuka, Acacia ana declare bankruptcy. Kwenye corporate world Kampuni ni mtu, ikifa kwa kufilisika, madeni yote nayo yanakufa. Gharama za mitambo zitaweza kufidia wage bills za wafanyakazi and we loose every thing.

Hili ni angalizo to toka Kwa lumpen wa mambo ya biashara, naona kama kuna kila dalili ya kulizwa, na huku tukisubiri Noah zetu.

Paskali

Na kwa sababu Africa kuna mahaba na Uchina Barrick kupitia Wadau wetu Uchinani tunauziana Mgodi na maisha yanakwenda kwa kusoma Upepo mpaka tutakapo ona upepeo umetulia.
 
Mkuu Pascal Mayalla naomba tujikumbushane kidogo juu ya historia ya ubepari.
Historia inatuambia kwamba mabepari huwa hawaachi masoko yao na mirija minono ya faida.
Kinachofanyika ni maboresho ya mfumo mzima wa unyonyaji ambao hautaonekana kuwa na madhara papo kwa papo lakini nyuma ya pazia kunakuwa na madhara makubwa mno na mazito. Hebu ona mifano hii:

Mosi, mwaka 1857 baada ya uasi wa wahindi dhidi ya kampuni la Uingereza lifahamikalo kama The British Indian Company waingereza walilinyang'anya madaraka na kutengeneza kitu kiitwacho The British Raj na kuwahadaa wahindi kwa kuweka watawala wa kihindi waliofanya kazi kwa niaba ya serikali ya mkoloni kutoka Uingereza. Lakini mwisho wa siku wahindi walikuja kugundua kwamba hakikubadilika kitu.

Pili, mwaka 1807 mabepari walipisha sheria inayopiga marufuku biashara ya utumwa. Wakaleta na sababu za kidini lakini ukweli ni kwamba watumwa walikuwa hawahitajiki sana kwasababu ya mapinduzi ya viwanda yaliyotokea huko ulaya mnamo karne ya 18 yote. Kumbe mabepari wameondoa biashara ya utumwa na kuanza hadi kukamata meli za watumwa, kumbe wamegundua mchezo mpya unaitwa Ukoloni: Kwamba hawa waafrika ili watuzalishia zaidi inabidi tuwatawale huko huko kwenye bara lao. Hiki kilikuwa ni kiini macho, wanahistoria wanakosa wanasema kwamba hakuna utofauti baina ya utumwa na ukoloni.

Tatu, mwaka 1960 tunauita The Year of Africa ambapo dunia ilishuhudia nchi nyingi za Afrika zikipata uhuru kwa kasi sana. Waafrika tulijipanga barabarani kumbebe hayati mwalimu Nyerere tukiwa na bashasha zilizosindikizwa na tungo mkoloni kushindwa. Lakini je, mkoloni alishindwa kweli ? Miaka 50 tangiu tupate uhuru kasi yetu ya maendeleo imekuwa ndogo sana na huku sehemu kubwa ya utajiri wa nchi za afrika ukimilikiwa na watu wa nje ya bara hili. Ukoloni likufa, ukaja Ukoloni mamboleo al maarufu kama Neo Colonialism. Ambapo ulikuja kwa sura nyingi tofauti ambazo sisi kama waafrika tulijidanganya kwa kuzifurahia bila kufikiri: Ukoloni Mamboleo ulikuja kama Ujamaa (Ndiyo Ulikuja kama Ujamaa), Uwekezaji, Masoko na Utandazi. Hakuna sura hata moja ya Ukoloni Mamboleo iliyomnufaisha mwafrika.

Sasa nadhani kusherekea ushindi wakati mpira ndiyo unaanza ni sawa na kupaka rangi upepo. Accacia kama kampuni lililosajiliwa kisheria wanaweza kufungasha virago lakini kaka ukijua kwamba watu wanaomiliki hilo kampuni hawataondoka kamwe.

Capitalism is a Hydra Serpentine from Greek mythology,
You chop off one head but two more heads grow on its behalf.
You may win a battle but not a war, we must be vigilant na tujue kwamba huu mchezo ni akili, siyo nguvu.

Barrick/Accacia kama makampuni yanaweza ondoka lakini wahusika wataendelea kuwepo. Mabepari huwa hawaachi faida kubwa kwa kuogopa madeni. Kiufupi HAKUNA BEPARI ANAYEOGOPA MADENI KWASABABU MADENI NI SEHEMU YA MFUMO WA UBEPARI.
 
Hakujapatikana bado serikali duniani zilizoweza kupambana na mabepari wanaomiliki sehemu kubwa ya rasilimali za dunia kwa mafanikio.

Hili la Acacia Mining PLC, kama tutaendelea kuweka ujinga na kibri mbele tutaumia sana. Mpaka sasa wao wameshikilia mpini, mambo yamekwama na mwishowe tutalipishwa fidia ambazo zingeweza kujenga kilometa za kutosha za barabara.

Tulikosea kuwaalika kwa kuweka KIBRI na Uchama (CCM) mbele. Tukapigwa.

Tukaingia kichwa kichwa kutaka malipo zaidi. Tukaweka tena KIBRI na uchama mbele. Tumeshapigwa tena.

Mara zote wanaoonyesha njia sahihi ya kupitia wanaitwa wachochezi na wasaliti.

Tatizo la hii nchi ni CCM.
Kibri vip .huwezi ongea point ya maana ili kuondoa neno kichwa kichwa wew ulitakaje .. na kwa Nini tulipishwe fidia WAKATI Mali Ni yetu
 
Asante Pascal kwa kutuza.Wana mpango wa ku-pull out from Africa forever.Mabehewa nd'o yanaanza kutikisika hivyo tayari kwa safari.
 
Back
Top Bottom