Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
Mkuu wenzetu wa Kenya wamevirudisha hivyo vifaa! Inaaminika kwamba vina makosa kwa asilimia 50! Yaani 50% ya watu ambao hawana VVU wanaonekana wana VVU na 50% ya watu wenye VVU wanaweza kuonekana hawana VVU. Mbona hatari sana hii.
Asee sasa tufanyeje?
My god nitajuaje
kama ninao au sina
hakuna vpm mbadala
kestolight haipand
tena ngoja nkalale
mimi ni mdau katika sekta ya afya,vipimo vya malaria alivyovitaja mleta uzi ni aibu kwa wizara ya afya! Hebu jiulize: wagonjwa 518 waliopimwa mwezi Nov.kituoni kwangu ni wagonjwa 3 tu walioonekana wana malaria kwa mujibu wa vipimo hivyo! Ajabu nyingine huyu mfamasia wetu ni mwizi nouma wa vifaa lakini madude haya ya malaria bado yamejaa stoo dalili kwamba hayauziki kwa Wakongo!
Mkuu watanzania tuna afya au tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu tu! Hata hayo madawa yanayouzwa huko baada ya kuibwa ni fake vilevile!You have been in US for too long and you are forgetting how things work in Tanzania, they work by not working. Ukija nenda Muhimbili uone panavyonuka, hutaamini kama ile ni hospitali, nenda Mwanyamala hospitali au Temeke, Ilala n.k. usiombe kuingia kwenye labs. Sehemu kubwa ya dawa zinazouzwa kwenye pharmacy uwezeo wake wa kutibu ni 40% ikilinganishwa na OTC za nchi nyingine zenye drug administration department.
The fact is Afya za watu ni mtaji wa watu kujinufaisha, hata useme otherwise. Ukiwauliza wanasiasa watapiga porojo tu, mambo yataendelea. Unatakiwa kujiuliza kwanini Malaria mpaka leo inaua, na inaweza kutibiwa kwa chini ya dola 10.
Tunavyolalamika kuwa nchi yetu hovyo, we know what we mean.
Hii ina maana hata mkulu alivyopima pale mnazi mmoja kuna mawili i.e. akae akijua kuwa anao au hana. Duh, Watanganyika tuna safari ndefu acha tu na hadi tufike lazime 3/4 yetu (40mil) ipotee!Mkuu wenzetu wa Kenya wamevirudisha hivyo vifaa! Inaaminika kwamba vina makosa kwa asilimia 50! Yaani 50% ya watu ambao hawana VVU wanaonekana wana VVU na 50% ya watu wenye VVU wanaweza kuonekana hawana VVU. Mbona hatari sana hii.
Mkuu hapa Tanzania Elimu ni kubwa mno watu wanaujua ukimwi. Viongozi wamekuwa mstari wa mbele kuelimisha watu na kuhamasisaha watu wapime kwa hiari (VCT). Hukumbuki JK na mke wake walikuwa kwenye kampeni hiyo pale mnazi mmoja wakipima na kuhamasisha watu na kauli mbiu ya Tanzania Bila Ukimwi inawezekana? Au hutaki?
Mkuu unafuga mwizi? Tutapambanaje na ufisadi sasa? Au huyo mfamasia siyo fisadi? Mripoti polisi anatumalizi madawa yetu ( nadhani anafanya kazi serikalini huyo).
Anza kuitakasa ofisi yako ili tuangamize ufisadi vinginevyo tutaishia kupiga makele hapo oo kuna ufisadi kimbe nasi tunashitiki!
Na hizo mashine zimetumika kwa muda gani? Na ni watu kiasi gani wenye virusi vya ukimwi walipimwa nayo?Mkuu wenzetu wa Kenya wamevirudisha hivyo vifaa! Inaaminika kwamba vina makosa kwa asilimia 50! Yaani 50% ya watu ambao hawana VVU wanaonekana wana VVU na 50% ya watu wenye VVU wanaweza kuonekana hawana VVU. Mbona hatari sana hii.
Mada umeielewa lakini?
Mkuu wenzetu wa Kenya wamevirudisha hivyo vifaa! Inaaminika kwamba vina makosa kwa asilimia 50! Yaani 50% ya watu ambao hawana VVU wanaonekana wana VVU na 50% ya watu wenye VVU wanaweza kuonekana hawana VVU. Mbona hatari sana hii.
mkuu acheni uvivu wa kutafuta diagnosis,yaani tuna tatizo la kuwabambikia watu ugonjwa wa malaria wakati sio kweli.kipimo cha malaria rapid diagnostic test ni kipimo kizuri ukitaka kujua hilo fuatilia studies zilizofanyika zanzibar.yaani ukienda dispensary kila siku utaambiwa una malaria,typhoid au UTI kitu ambacho si kweli.Lakini hizi test za Malaria - Rapid test strips, kwa wagonjwa 117 niliowapima kwa kipimo hicho cha malaria- watatu tu ndio wameonekana kuwa na malaria, wengine 114 wolionyesha hawana malaria. Lakini hawa ambao hawakuwa na malaria, nilipotumia njia nyingine ya kipimo cha malaria (Blood slide) malaria ilionekana. Hivyo nakubaliana