HATARI: Vifaa vibovu vya kupima UKIMWI & Malaria vyatumika Tanzania

Mwanakijiji
Kipimo sahihi ni watanzania kuelemishwa kuachana na mambo ya ngono tu; elimu ya afya itiliwe mkazo, nchi nyingi duniani zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza maambukizo kwa kutumia afya ya jamii; na viongozi wamekuwa mstari wa mbele kwenye vita hivyo.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Nafikiri mwanakijiji anazungumzia vifaa au machine za kipima hiv na malaria
 
*Habari ya kutisha* na inayoonyesha jinsi *baadhi ya watumishi wa umma* walivyo na *dharau* kwa *watanzania*. Puuuuuu!

MPUI - TUNDURU.

Jamani kila mtu anapenda fedha lakini sasa too much, hata maisha ya watu?!! Hawajui hata mama zao watakufa kwa tamaa zao?
 
pale wizara ya afya kuna madudu sana.mara MSD dawa zimeEXPIRE za 4bn,mara Kibong'oto wagonjwa wanarudishwa nyumbani hospital haina dawa za TB.Imebakia agent wa bishara ya kupeleka watu India

Una maanisha kuwa Wizara ya Afya wamekuwa maagent wa kupeleka Mafisadi wanaokwapua kodi za Watanzania nje ya nchi kwa ajili ya Afya zao? Basi kama ni hivyo hii Wizara ifutwe haina maana yoyote kwa Watanzania zaidi ya kutumia kodi za Watanzania kwa manufaa yao
 
Si wabongo kuna ugumu gani wa kuvirudisha?

Watarudishaje wakati "wajinga ndio waliwao?" Hii ni aibu sana kwa nchi inayojali maisha ya watu wake. Haiwezekani hata kidogo mtu akawadharau Watanzania kiasi hiki. Ni madawa aina ngapi yameingizwa yakiwa mabovu? Huu ni uuaji wa mchana na nchi nyingine huyu anashitakiwa kwa mauaji.
 
Mkuu hapa Tanzania Elimu ni kubwa mno watu wanaujua ukimwi. Viongozi wamekuwa mstari wa mbele kuelimisha watu na kuhamasisaha watu wapime kwa hiari (VCT). Hukumbuki JK na mke wake walikuwa kwenye kampeni hiyo pale mnazi mmoja wakipima na kuhamasisha watu na kauli mbiu ya Tanzania Bila Ukimwi inawezekana? Au hutaki?

du kama vifaa ni vibovu, kwa hiyo majibu aliyopewa JK na MKewe siku ile hayakuwa sahihi?
 
kwa jinsi hii maambukizi hayataisha, hii ndo ingekuwa breaking New kwenye vyombo vya habari ili watu wachukue taadhari kwani inaweza kuja kuwa crisis kubwa mno! Make watu wanafunga ndoa baada ya kupima na iwe mtu ameonekana Negative wachukuane na baadae wanashangaa kirusi ndani ya nyumba nani atakuwa mkosaji? hebu tuhurumieni wenzenu we are innocent.. hatustahiri kufa kwa mauzembe yasiyokuwa na maana
 
Duuu yaani mimi nimepima juzi tuuu nikaanza kujipongeza kwa mi bia na kuku kumbe furaha yangu inaweza kuwa ndoto ya mchana! jamani ebu nielewesheni vizuri hicho kipimo si nikile ki box design chenye mistari miwili unadondoshea drops za damu ndani ya dakika 3 hivi unapewa majibu? na kama ndio hicho basi tumekwisha!
 
kwa jinsi hii maambukizi hayataisha, hii ndo ingekuwa breaking New kwenye vyombo vya habari ili watu wachukue taadhari kwani inaweza kuja kuwa crisis kubwa mno! Make watu wanafunga ndoa baada ya kupima na iwe mtu ameonekana Negative wachukuane na baadae wanashangaa kirusi ndani ya nyumba nani atakuwa mkosaji? hebu tuhurumieni wenzenu we are innocent.. hatustahiri kufa kwa mauzembe yasiyokuwa na maana

Hata FikraPevu.com na JamiiForums.com ni vyombo vya habari
 
Kichekesho!! tunaambiwa ndani ya Wizara ya Afya eti wanaandaa Press Conference Jumatatu!! Leo Ijumaa!! WHO wametoa taarifa Novemba 16, 2011, sisi tunakaa hadi Jumatatu, Januari 2, 2012, ili iweje? Tuchakachue? Au mpaka Mkorea James Chae, awaandalie cha kusema? Basi afanye yeye Press Conf pale ofisini kwake Old Bagamoyo Road nyuma ya Heineken (Mabino wine), Mikocheni na si Wizara ya Afya.
 
kwa jinsi hii maambukizi hayataisha, hii ndo ingekuwa breaking New kwenye vyombo vya habari ili watu wachukue taadhari kwani inaweza kuja kuwa crisis kubwa mno! Make watu wanafunga ndoa baada ya kupima na iwe mtu ameonekana Negative wachukuane na baadae wanashangaa kirusi ndani ya nyumba nani atakuwa mkosaji? hebu tuhurumieni wenzenu we are innocent.. hatustahiri kufa kwa mauzembe yasiyokuwa na maana

Hapo sasa Mkuu!! Hii ni hatari manake watu tumejitolea kupima ili tuoe! Kuna watu wamevunja uchumba na kuna watu wameingia ndoa na watu ambao si salama.
Nani anabeba liability hapa?
 
Hapo sasa Mkuu!! Hii ni hatari manake watu tumejitolea kupima ili tuoe! Kuna watu wamevunja uchumba na kuna watu wameingia ndoa na watu ambao si salama.
Nani anabeba liability hapa?

Watajibu Jumatatu, wanakula Sikukuu kwanza, hadi waandike dokezo na kupanga bajeti ya posho ya vikao vya kuandaa nini cha kujibu na posho ya atakayefanya Press Conf. Hii ndio Tanzania yetu.
 
Watajibu Jumatatu, wanakula Sikukuu kwanza, hadi waandike dokezo na kupanga bajeti ya posho ya vikao vya kuandaa nini cha kujibu na posho ya atakayefanya Press Conf. Hii ndio Tanzania yetu.

Hapa siasa na ufisadi pembeni, tungepata professional opinion; Je, mashine zote vina kasoro au baadhi yake mbovu? Je, wenyewe wataalamu waliziona kasoro hizo au ni baada ya barua ya WHO ndio tunakamatana uchawi?

Kawaida vipimo vya HIV huambatana na viashirio vingine na kipimo chenyewe huwa kama confirmatory test, na haya madaktari wetu wanayaelewa.

Walalamikaji wakubwa hapa ni wale wapimaji kwa ajili ya uthibitisho wa kufunga ndoa. Hapa mjadala wake utahitaji thread nyingine.
 
29 December 2011 Last updated at 17:48 Share this pageEmailPrint
80
ShareFacebookTwitter
Kenya recalls 'faulty' South Korean HIV kits

There has been a sharp increase in the number of Kenyans who go for HIV tests
Continue reading the main story
Related Stories
Aids deaths 'down 21% from peak'
UN urges more funds for HIV drugs
Kenya in HIV/Aids testing drive
Kenya has recalled one million HIV testing kits because of fears about their accuracy, a health official has said.

The WHO had raised an alert about the kit after finding half the test results could be wrong, said Shahnaz Sharif.

But there was no reason to panic as the South Korean-manufactured kit was one of several used to diagnose the HIV status of people, Dr Sharif said.

Kenya, like most of Africa, is trying to contain the HIV/Aids pandemic.

International aids charity Avert says HIV testing has increased sharply in the past decade in the East African state, following a government-backed campaign to create more awareness about the illness.

In 2000, Kenya had only three voluntary testing and counselling sites, but the number had risen to nearly 1,000 by 2007, it says.

'Tie-breaker test'
Dr Sharif, Kenya's director of Public Health and Sanitation, told the BBC's Focus on Africa programme that the Standard Diagnostic Bioline (SDB) kit, manufactured by a South Korean company, had wrongly diagnosed people.

Continue reading the main story
“
Start Quote

People are really worried and asking if it [faulty HIV testing kits] is going to affect them. The answer is no”

Dr Shahnaz Sharif
Kenyan health official
"The discrepancy rate was about 50% and the WHO [World Health Organisation] has asked all countries to put on hold use of Bioline," he said.

"About 50% of positives may have been reported as negative and 50% of negatives as positive."

The WHO had detected the unreliability of SDB, which was widely used by countries in sub-Saharan Africa, Dr Sharif said.

But Kenyans should not be alarmed because the SDB test is one of three tests that health officials carry out on people to make sure their HIV status is correctly diagnosed, he said.

"People are really worried and asking if it is going to affect them. The answer is no," Dr Sharif said, adding that a "tie-breaker" test was normally conducted if there were conflicting results.

More than one million Kenyans are HIV-positive.

BBC News - Kenya recalls 'faulty' South Korean HIV kits
 
Back
Top Bottom