Hatari! Mtoto kabakwa ndani ya daladala

Hatari! Mtoto kabakwa ndani ya daladala

Mimi ilishawahi kunitokea kwenye msongo wa mikate ,msichana yupo mbele sasa ule msongo ukawa unayumba ,aloo saa mbili usiku ,nakumbuka kama leo nilikuwa ndio kwanza nina miaka kumi na sita na yule demu alikuwa kanizidi jimama nafikiri alikuwa kama ana miaka 23 ila kanona kweli kweli ni mnene sana ,alikijua lakini aliminya akaniambia siku ya pili usizoee ,basi tokea siku hiyo si kwenda tena kwenye msongo ,unajua mambo mingine yanataka moyo sana na haielekei upange msongo huku mmegandana lazima kutatokea mtafaruku ila hilo jibaba limefanya kufulu maana alikuwa na nia hiyo ya kuua kwenye basi.
 
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 3 (jina linahifadhiwa) aliyedaiwa kubakwa na mwanaume aitwaye George Mshana (30) ndani ya daladala katika Kituo cha Mabasi Mwenge, jijini Dar es Salaam, jana (Jumatatu) aliliza watu katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakati mwanaume aliyedaiwa kumfanyia unyama huo akipandishwa kizimbani na kusomewa mashitaka yake ya ubakaji...

"HII NOMA WASHKAJIII...."
1240230935__mg_2664.jpg


Mtoto huyo ambaye alifika Mahakamani hapo akiwa na mama yake, Bi. Amina Issa na bibi yake mzaa mama, Kahungu Paschal alijikuta akizungukwa na kundi kubwa la watu ambao walikuwa wakimsikitikia na kumpa pole kwa unyama anaodaiwa kutendewa huku baadhi ya kina mama wakijikuta wakitokwa na machozi.

"POLE MAMA NA MWANA..."
1240235619_mama.jpg


Uchungu wa wananchi hao ulionekana kuzidi baada ya mtuhumiwa George ambaye kitaaluma ni Mwandishi wa habari kupandishwa kizimbani,ambapo baadhi ya watu walisikika wakimstaajabu mwanaume huyo kuwa ni mtanashati na mzuri wa umbo na sura, hivyo kujiuliza ni sababu zipi zilimsukuma hadi kufikia hatua ya kumbaka mtoto ndani ya daladala tena mchana kweupe.

Akisoma mashitaka ya shauri hilo, mwendesha mashitaka Inspekta wa Polisi Nassoro Sisiwaya, mbele ya Hakimu mkazi wa Mahakama hiyo, Emelius Mchauru, alidai kuwa mnamo Aprili 16, mwaka huu majira ya saa 4 asubuhi katika Kituo cha mabasi Mwenge , Kinondoni jijini Dar es Salaam, George alimbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu ndani ya Daladala bila lidhaa yake.

Kumbe jamaa ni mtu mwenye akili timamu na maarifa yaliyokamilika na anataaluma yake???😕 Kama ni ilikuwa ni kukidhi tamaa za kimwili; mbona kina dada poa wapo wengi???maana c rahisi awe amekosa japo elf10 ya kumpa dada poa!!! Au kuna jambo jengine nyuma ya pazia!!! "TUTAFAKARI NINI CHANZO"

SOURCE: UWAZI LA LEO
 
Last edited:
Mwandishi wa Habari????????????
He MAKUBWA haya.......................
Enewei nadhani hawa waendesha mashtaka wanahitaji twisheni. Huwezi kusema FULANI amembaka FULANI bila ridhaa yake. Shwain! Kwani kuna mtu anabakwa kwa ridhaa?? labda sana ingesemwa kuwa umemwingilia fulani bila ridhaa yake. hiyo ndo kubaka.
Pili nadhani hawa wataalam wa akili za watu wawe wanaweka vilinge mahakamani kupata wateja wao maana nimestukia siku hizi watu wengi huchizika na kufanya ndivyo sivyo halafu haoooo wanakwea kizimba. Hii ni kesi ya akili. Atibiwe huyu kwanza kisha ashtakiwe kwa ujuha wake wa kikatili.
Natoa pole sana kwa mtoto na familia yake. Najua huyu mtoto akikua halafu akasimuliwa yaliyomtokea utotoni atachukia wanaume mpaka nafsi yake. anahitaji pia kuanza kuangaliwa na ustawi wa jamii ifikapo umri fulani ili aweze kuandaliwa kupokea masimulizi ya yanayomtokea sasa.
Eh makubwa haya....
 
hUYO MPARE ALIYEBAKA MTOTO NAMSHANGAA SANA. uKWELI MIMI NASHINDWAGA KUELEWA NINI HASWA KINAMPELEKEA KUFANYA HIVYO NA MPAKA KUPATA HAMU YA KU DO MNA MTOTO MDOGO. NAFIKIRI NI SACATRY CASE AU KUNA IMANI ZA USIRIKINA NDANI. AFUNGWEEEEEE!
 
Jamani hebu muangalieni huyo mtoto alivyo kwa kila kitu, then compare na huyo mtuhumiwa alivyo. Je ni kweli "TAMAA ZA NGONO" zilizompelekea kutaka kumnajisi huyo mtoto 😕
 
hana aklitimamu,mshezi sana yaani mtoto wa miaka mitatu!!!!
anatia aibu sana.
 
hUYO MPARE ALIYEBAKA MTOTO NAMSHANGAA SANA. uKWELI MIMI NASHINDWAGA KUELEWA NINI HASWA KINAMPELEKEA KUFANYA HIVYO NA MPAKA KUPATA HAMU YA KU DO MNA MTOTO MDOGO. NAFIKIRI NI SACATRY CASE AU KUNA IMANI ZA USIRIKINA NDANI. AFUNGWEEEEEE!


Rekebisha lugha dada yangu; UKABILA hauhusiki na dhambi/makosa ya mtu binafsi.
Naamini hata WAPARE wenyewe hawakubaliani na ukatili alioufanya huyo "ndugu" yao (kama ni kweli mpare au ni jina tu)
 
Mkuu kuna mengine yanaitwa KY yapo sana kwenye maduka ya dawa kuna baba mmoja anatembea nayo kweny mfuko wa shirt yeye ni wake za watu tu ndo anawafanyia lakini kwa makubaliano maalumu.

Du Fidel80, KY ndiyo nini tena? Nieleweshe ndugu yangu!! ukiona vipi kama ni private sana ni PM maan sitaki kuleta lugha za chumbani hapa, si mahala pake i.e si nidhamu.
 
Du Fidel80, KY ndiyo nini tena? Nieleweshe ndugu yangu!! ukiona vipi kama ni private sana ni PM maan sitaki kuleta lugha za chumbani hapa, si mahala pake i.e si nidhamu.

sahamani nimedandia treni kwa mbele.
ni kwamba ukitaka kuijua KY jelly nenda duka la dawa (hasa mjini) ulizia hiyo kitu watakuonesha naamini haiuzwi ghali sana.
unaweza kuulizia matumizi yake muafaka.
 
sahamani nimedandia treni kwa mbele.
ni kwamba ukitaka kuijua KY jelly nenda duka la dawa (hasa mjini) ulizia hiyo kitu watakuonesha naamini haiuzwi ghali sana.
unaweza kuulizia matumizi yake muafaka.

Mimi naona aibu kuuliza mtu akiniangalia machoni. Afadhali hapa JF kwenye Pma hunioni. Pharmacy kabisa siendi, nitaona aibu kujieleza na umri wangu huu. Au wataniona mshamba sana maana kama ni kitu ambacho kipo madukani na kinauzwa pengine nilipaswa kukifahamu. Anyway, hata nisipopata matumizi yake haina shida sana maana naamini sikihitaji ndiyo maana sikifahamu i.e not in my basic demands. Ila kukifahamu siyo makosa maana tuna watoto na wajukuu tutajua a kind of dunia wanayoishi, as parents and grandparents not isolated islands, ni vema tuwe well informed.
 
Mimi naona aibu kuuliza mtu akiniangalia machoni. Afadhali hapa JF kwenye Pma hunioni. Pharmacy kabisa siendi, nitaona aibu kujieleza na umri wangu huu. Au wataniona mshamba sana maana kama ni kitu ambacho kipo madukani na kinauzwa pengine nilipaswa kukifahamu. Anyway, hata nisipopata matumizi yake haina shida sana maana naamini sikihitaji ndiyo maana sikifahamu i.e not in my basic demands. Ila kukifahamu siyo makosa maana tuna watoto na wajukuu tutajua a kind of dunia wanayoishi, as parents and grandparents not isolated islands, ni vema tuwe well informed.

....Kwa hiyo tukishakuelezea kwa ufasaha hapa JF, then utamtuma mtoto dukani akununulie eeeh!? hahaha kweli uzee mali.
haya mie naijua ila msubiri mzee wa uani (fidel) akufafanulie ilivyo na ukiielewa tueleze una plan gani mkuu?
 
yani mie nimeccmkwa kweli na hii habari, oh ma God cjui 2wafiche wapi wane2 jamani, huyu ni mwandishi wa media gani jamani kwa anaejua?...loo kiama hiki.
 
Insikitisha kuona huyo jamaa kamfanyia unyama mtoto wa miaka 3 ina maana kumpakata tu akapatwa na mshawasha halafu ndani ya daladala! Aibu kwakweli

Ila haya mambo yanatokea sana kwenye mazingira tunapoishi, hata majumbani na watoto wetu ndiyo maana ni muhimu na vizuri kuwaangalia sana watoto wanapoenda kucheza na watu kuwabeba ovyo ama kujifanya wanaenda kuwanunulia pipi au bigjii..
Watu ni wakatili sana, miaka 3 unaweza hata kumuua mtoto jamani!..

Na asimsingizie shetani kwani Mungu anakuwa wapi wakati anapitiwa!..
Jamani wenye watoto unangalifu unatakiwa, siyo tu kwenye madaladala hata majumbani na kwingineko. Wako kila mahali hao wenye michezo michafu kwa watoto wadogo!..
 
hana aklitimamu,mshezi sana yaani mtoto wa miaka mitatu!!!!
anatia aibu sana.
Hana miaka mitatu wanaongopea tu mbona Jaji kasema hakutoa ridhaa ,maana kama ni mtoto wa miaka mitatu sizani kama kuna kitu ridhaa ,au kujikubalisha kwa maana ingine, huyo jamaa akipata wakili machachari anaweza kushinda hiyo kesi ,tatizo ikiwa amekubali ndio ameshakosea ,yaani hapo unakataa moja kwa moja ,eti jamani mtoto nimempakata sasa kumlilia mama yake ndio imekuwa balaa ,mbona ni kesi rahisi tu kama inngepata mtu mbishi.Itakuwa huyo mama amemzushia tu ,halafu walete hati ya dakitari vilevile natumai haipo sasa ,si amebambikiwa tu.
Twendeni kikesi tuone ,halafu ushahidi wa kusema mtoto alianza kulia ndio wakaona kuwa ananajisiwa wacheni ,leteni ukweli sio mnafuata magazeti na vyombo vya habari vya udaku ,vyombo ambavyo vinaweza kumfungisha mtu kwa kuzivalia njuga habari za kusikia. Inawezekana kabisa ni misheni town ,jamaa wamempangiza huyo mama ndio ukaona hata kwenye vyombo vya habari imetoka haraka sana ,nafikiri muhusika amefanyiziwa na wema wake ndio uliomponza.
 
jamani ni pepoooo au baradhuliiiiiiiiiiiiiiiiii....

sheria ichukue mkondo wake na liwe funzo kwa wale wote wenye hisia na tabia chafu kama hizooo

astakafulaaahhhh...

Mkuu hata mm nastaajabu. Mazingira ya dala dala amebaka vipi?ina maana siti za pembeni yake hapakua na mtu? Kwa kweli huyo jamaa atakua hayupo timamu. Mwenyezi Mungu amlaani kwa kitendo chache cha kishenzi.
 
Mambo ya mfadhaiko wa nanino hayo 🙁. Inanikumbusha ile kesi ya jamaa pale TANESCO aliyekuwa kasimama kwenye mstari ili kulipa bill halafu kuna mwanamama mbele yake alikuwa na wowowo si la kawaida, basi jamaa akamsogelea kama vile katika harakati za mstari uliobanana kumbe katoa dudu yake na kufanya madhambi yake. Yule baba alimchafua yule mama na alipoulizwa kulikoni akadai ni "mfadhaiko wa akili". Haya mambo yako sana kwenye mabasi hasa yanapojaa kupita kiasi watu hushughulika bila hata aibu. Pia yapo sana kwenye Treni za abiria mijini huko Japan na India. Nasikia Japan sasa hivi kuna mabehewa ya wanawake pekee yao ili kuwakinga na wale wenye mfadhaiko wa akili maana huko wanashika mpaka matiti kwa kisingizio cha kubanana.

Aisee nashukuru sana kwa shule yako bana, yaani naona kama napata exposure fulani hivi. Kumbe India na Japan nako kuna haya mambo hivi, kweli binadamu ni sawa kabisa pamoja kwamba tamaduni za kimaisha ni tofauti. Europe na kwingineko hakuna haya mambo?
 
Wanaume mnaopenda kutoa msaada wa kupakata vitoto vya watu kwenye daladala ndo mkome!
 
Back
Top Bottom