Hatari! Mtoto kabakwa ndani ya daladala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatari! Mtoto kabakwa ndani ya daladala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Petu Hapa, Apr 17, 2009.

 1. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jana sikupata kuona taarifa ya habari saa mbili. Ila nimepewa taarifa kwamba miongoni mwa habari zilizoonyeshwa, moja ilihusu ubakaji uliotaka kufanyika au uliofanyika kwenye daladala ya Makongo kwenda Mwenge jana.

  Nilivyoelezwa ni kwamba basi lilikuwa limejaa sana, mama mmoja alikuwa na mtoto wa kike (umri sijui), baba aliyekuwa karibu alijitolea kumsaidia yule kumpakata yule mtoto wake kwa vile yeye alikua ameketi. Baada ya muda yule mtoto akaanza kupiga kelele na kulia kutahamaki jamaa alikuwa katika harakati za kumbaka yule mtoto aliyekuwa amembeba. Basi likasima na kumkagua jamaa na kumkuta na mafuta ya vaseline ambayo aliyatumia kwa shuguhuli ya ubakaji! Alipelekwa kituo cha polisi mwenge na labda atapelekwa mahakamani kwahatua zaidi za kisheria.

  Jambo ambalo sijaelewa je alifanikiwa kumbaka huyu mtoto?

  Nimeshtushwa mno!
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Apr 17, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
  What is your take fella?

  When satan/devil drives you, you can do anything in this World!

  Human are fallible creatures, they will jail him, akifika jela kuna mtu naye atamfanyia mchezo mchafu, usiseme kuhusu mahakimu na polisi waliomkatama,is just their stuff are hidden!

  we human we have our own standards that is differing from one another

  1. Some says stealing id bad and sin
  2. Some says stealing is OK, but do not kill!
  3. Other says lies is OK! lie for good
  4. Some says adultery is better than murdering
  5. Some says corruption is better tha abortion!
  6. some says........
  7.........................................

  God's standard is that; all sins are counted equally before him!

  Romans 3:9 What then? Are we better than they? Not at all; for we have already charged that both Jews and Greeks are all under sin.

  Romans 3:23 since all have sinned and continue to fall short of God's glory.

  Kaka lengo ni kukuambia kuwa kuna mambo ya kutisha zaidi yanayofanywa na wanadamu, kama tungesikia tusingeweza kufanya lolote, japo ofcourse na sisi tunatakiwa kujievaluate.

  Solution haya haya yote ni kumrudia Mungu at any cost, kwani huyo jamaa atahukumiwa na watu ambao wamefanya ya kutisha zaidi, never mention to sleep with animals, hatujajua, yamefichwa, mzizi ni dhambi, ikaayo ndani yetu, sio dhambi tunayoifanya!

  When Jesus in control, anafisha hali na tabia mbaya zote za kibinadamu, ambazo zinaweza zika-ripuka at anytime anywhere bila kujali mazingira.

  Akiwa jela( anastahili) tumhuburie kwani akitoka tena ndiyo may be hatari zaidi!

  Mungu atusaidie.
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huyo mtu aliyejaribu kubaka hawezi kuwa na akili timamu
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Nilimuona kwenye taarifa habari......yule kwa kweli hana akili timamu naona kama ana matatizo sana ya akili kwa kweli.....mtu mwenye akili timamu hawezi kuropoka kama vile......eti"nilitaka kumfanyia kitu kibaya ila sikuwahi kumfanyia...sasa naomba tu nisamehewe kabisa.....nimekosa sana"......ila sasa akienda selo atakutana na wataalamu watamfundisha jinsi kuja kujieleza hawezi kusema nakubali.....huwa wanasema kabla hawajaenda keko au sega....dansi...lazima atakuja tofauti kabisa...
   
 6. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  What kind of madness is that! in the public bus! We seriously need our mental institutions to work on mental problem. I don't think imprisonment itself can help on the matter.

  I do understand all human are capable of evil and mental illness. However, the idea of having vaseline with him - to me it seems he had intention - and that is not madness that is rapist. Good knows, how many kids he has rapped!

  He need to be analyzed, not jailed only. To study his mental illness maybe he need to be hospitalized for life and not imprisoned for a few months.
   
  Last edited: Apr 17, 2009
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,392
  Likes Received: 81,412
  Trophy Points: 280
  Mambo ya mfadhaiko wa nanino hayo :(. Inanikumbusha ile kesi ya jamaa pale TANESCO aliyekuwa kasimama kwenye mstari ili kulipa bill halafu kuna mwanamama mbele yake alikuwa na wowowo si la kawaida, basi jamaa akamsogelea kama vile katika harakati za mstari uliobanana kumbe katoa dudu yake na kufanya madhambi yake. Yule baba alimchafua yule mama na alipoulizwa kulikoni akadai ni "mfadhaiko wa akili". Haya mambo yako sana kwenye mabasi hasa yanapojaa kupita kiasi watu hushughulika bila hata aibu. Pia yapo sana kwenye Treni za abiria mijini huko Japan na India. Nasikia Japan sasa hivi kuna mabehewa ya wanawake pekee yao ili kuwakinga na wale wenye mfadhaiko wa akili maana huko wanashika mpaka matiti kwa kisingizio cha kubanana.
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Tatizo la kwanza ni kuamini kwamba kuna Satan/devil anaye kudrive kufanya mabaya.
   
 9. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mimi pia nilishawahi kuona live kwenye Bus (daladala) la kutoka Ubungo kwenda Gongo la Mboto. Bus lilikuwa limejaza sana abiria jamaa mmoja kambana binti mmoja na bila aibu jamaa kafungua zipu yake na kutoa bunduki yake. Baada ya muda mwanadada akalowanishwa makalioni na mbegu zingine zikandondoka karibu yangu maana mimi nilikuwa nimekaa. Baada ya jamaa kugundua kuwa mdada kashtuka, akamwomba konda amshushe uwanja wa ndege na abiria wakawa wamepungua mdada kalowana kabaki kusema "Lol!, Nilikuwa nasikia tu haya mambo, leo imenitokea mwenyewe". Wanaume tuliona aibu kwelikweli.
   
 10. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwahiyo ilikuwa ni aibu tu! hamkumuongelesha! Mambo mengine tunayaacha wenyewe yakue. Asingeshushwa huyo, alipaswa ajieleze.
   
 11. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mifadhaiko ipo, lakini sio kuiachia mzee!
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hiki kijeba kilikuwa na ukame gani kulaleki?
  yaani jamaa mpaka anatembea na mafuta ya vaseline? imenikumbusha wazee wa kisiwani pemba wanatembea na viberiti wameweka vinyesi wakinusa nusa kupandisha stimu....

  .....tabia mbaya sana.....sasa hapa utawasikia polisi eti uchunguzi bado unaendelea....
   
 13. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Nasema hivi ngoja niwape kastori ka mzee mmoja wa makamo. Anaitwa Shunda, vijana wanamwita mzee wa Ring au mzee deo (Anapenda kuchungulia watu wanapofanya majambozi). yeye anacontact za guest zote bubu, pia amekamilika kwa dhana zote muhimu kuanzia Bisibisi, tochi, ngazi hadi kiwembe. Yaani yeye anafuatilia watu wote wanaoingia guest na kuwachungulia.

  Basi huyo mzee pia ni mhuzuriaji mzuri sana pale stendi ya mabasi ubungo na mwenge na hutembea na mafuta ya vaseline, huvaa kofia ya kipolisi na mkongojo, akiwa na jumba kubwa. Hujifanya mtetezi wa watoto na wanafunzi wanapozuiwa kupanda mabasi na makonda. Akiwa huko vijana wanaomfahamu humwita DUNGA DUNGA hupendelea sana mabasi yaliyojaa na hapendi kukaa nyuma, zaidi ni karibu na mlango au katika. Tahadhali na watu wanaoshikilia bomba la basi mkono mmoja na wala usiwape mgongo hata kama ni mwanaume mwenzio utakaribisha tukio la ajabu.

  "Kama wewe unafikiri mabasi ni kurahisisha usafiri basi wenzio wana kazi maalum....hao dawa yao ni kuwapunguza hapa duniani. PERIOD!"
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mfadhaiko gani kwa katoto ka miaka mi3? kubanwa na janajike lenye makalio makubwa sawa kitu kitaenda mnara lakini mpaka kutoa kitu nje utake kukiingiza huo ni ukichaa.....
   
  Last edited: Apr 17, 2009
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  huyu mzee kama ni TA namfehemu......hizo zana ulizosema zoote huwa nazo...unajua ukikaa pwani huku sana unarithi tabia za kipwani pwani(lkn sio kula TIGO) nilishwahi kula deo na mzee huyu.....yeye alikuwa ananunua game akijua una game ananunua game ili ale deo anakuambia yeye anachotaka nia uache taa wazi mengine ataweza mwenyewe.......

  ......utamsikia sharbat sharbat.....wazee kama hawa ni rahisi kufanya mambo ya kipuuzi kama ya huyu fyatu alietaka kumfanyia kitu mbaya mtoto wa miaka mi3
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Apr 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Yaani hilo lijamaa limeshindwa hata kwenda Jolly kukamata changudoa? Gotdamnit.....liende motoni likaungue na milele na milele....
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Apr 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Li Satan au Li Devil ni hilo bakaji....
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Jolly labda gharama itamshinda buku 10 mpaka 15 kulala short time buku 3-5......hata Burujinai au Sokota-tandika jero tu.......puuuzi sana jizee hili..
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Apr 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Si lingepiga hata puli basi....aaagh....jamani unaenda unakabaka kamalaika ka miaka mitatu? Haki ya nani....siku niambiwe eti binti mfalme wangu kabakwa....hamtanisikia tena....nitaua mtu.
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Apr 17, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
  Thanks; then is human will/desire............see all stories, they are confirming that.
   
Loading...