Hatari! Mtoto kabakwa ndani ya daladala

Hatari! Mtoto kabakwa ndani ya daladala

Mkuu kuna mengine yanaitwa KY yapo sana kwenye maduka ya dawa kuna baba mmoja anatembea nayo kweny mfuko wa shirt yeye ni wake za watu tu ndo anawafanyia lakini kwa makubaliano maalumu.

...Naona mnatoa lecture kwa wahanga wa mfadhaiko ili warahisishe kazi yao wawapo daladalani hahaha.
Ila haya mafuta hamna chochote kwani nijuavyo ukishalegea kinyege hivi basi mate yanakuwa kama ute fulani hivi unaweza kuyatumia kama kilainisha mitambo pia. hapo hamna gharama ila hisia zako tu....
 
Hiki ni kiama. Hata ka binti ka miaka mitatu kinawapa watu mifadhaiko? Kwa kweli dunia imefika pabaya. Inabidi iwepo siku moja ya maombi kuliombea taifa. Kila mtu aombe kwa imani yake.

..inabidi wazazi mpunguze kuwalisha watoto wenu kuku wa kisasa au hata mayai ya kisasa kwa wingi maana nasikia yanakuza au kuumua mambo mwilini. jamaa labda alivutiwa na vihips-mtoto ndo akaamua kufadhaika. Uwendawazimu mtupu
 
Mi nikimfuma ndo nimepanda na shemeji/wifi yenu anafanya mchezo mchafu huo namgeuzia kibao na yeye nakula tiGo kabisa hadharani haiwezekani eti mfadhaiko. Huu upuuzi mtupu mfadhaiko gani huo jamani?
 
Nakumbuka mwezi jana nilikuwa dar.
nikakwea daladala kujaribu kucompare nauli za bongo na umangani. lilikuwa limejaa haswa. ila mbele yangu kulikuwepo na mdada amejaa haswa halaf mlaaiiiin kwani alikuwa amenibana na sehemu zake za kukalia. nadhania aligundua kuwa sivaagi chupi (bunduki huendelea kukua usipoibana na pichu). Sasa akawa ananifanyia makusudi kunisugulia ushuzi wake kwenye mbele ya zipu yangu. uzalendo ulinishinda nikamnong'oneza kuwa ananifanyia makusudi kunibana, akacheka kisha huyooo akaachia kunighasi akidhani labda ntarusha neno (nadhani alikihisi chuma si cha mchezo alipokitibua)...
Lakini sikufadhaika na sikuruhusu kufadhaika pia nashukuru nilivaa shati kubwa bila mkanda nne. ngoma ingekuwa aibu siku hiyo. sisahau asilani

Nyie akina mama acheni machozi ya mamba hapa MNATUCHOKOZA wenyewe na vimbwanga vyenu...
 
mdada amejaa haswa halaf mlaaiiiin kwani alikuwa amenibana na sehemu zake za kukalia. nadhania aligundua kuwa sivaagi chupi (bunduki huendelea kukua usipoibana na pichu)

Angeendelea kukusogelea na kujipindisha pindisha ungemaliza au ungechafua suruali na wewe maana bunduki si ilisha anza kuwaka moto du kumbe makalio yana mvuto wake hahahahaha.
 
Angeendelea kukusogelea na kujipindisha pindisha ungemaliza au ungechafua suruali na wewe maana bunduki si ilisha anza kuwaka moto du kumbe makalio yana mvuto wake hahahahaha.

...alikuwa amebana yaani amekaba beki zote hakuna kufurukuta.
ila nilijiambia na kujilaumu baada ya pale kwa nini sikumwomba tukafanye muafaka nje ya ule ulingo ili kujiridhisha na uumbikaji wake.
Shekhe kama hujajua kuwa makalio yanavutia fanya sensa ndogo jijini. Angalia mwanaume anapopishana na mwanamke hugeuka kuangalia nini yake? utakuta anaelekeza macho kwenye ukaliaji wake. Makalio yanavutia haswa ila matumizi yake huwa ni nyuma ya PAZIA muulize Kelly anajua
 
Jana sikupata kuona taarifa ya habari saa mbili. Ila nimepewa taarifa kwamba miongoni mwa habari zilizoonyeshwa, moja ilihusu ubakaji uliotaka kufanyika au uliofanyika kwenye daladala ya Makongo kwenda Mwenge jana.

Nilivyoelezwa ni kwamba basi lilikuwa limejaa sana, mama mmoja alikuwa na mtoto wa kike (umri sijui), baba aliyekuwa karibu alijitolea kumsaidia yule kumpakata yule mtoto wake kwa vile yeye alikua ameketi. Baada ya muda yule mtoto akaanza kupiga kelele na kulia kutahamaki jamaa alikuwa katika harakati za kumbaka yule mtoto aliyekuwa amembeba. Basi likasima na kumkagua jamaa na kumkuta na mafuta ya vaseline ambayo aliyatumia kwa shuguhuli ya ubakaji! Alipelekwa kituo cha polisi mwenge na labda atapelekwa mahakamani kwahatua zaidi za kisheria.

Jambo ambalo sijaelewa je alifanikiwa kumbaka huyu mtoto?

Nimeshtushwa mno!
jamani ni pepoooo au baradhuliiiiiiiiiiiiiiiiii....

sheria ichukue mkondo wake na liwe funzo kwa wale wote wenye hisia na tabia chafu kama hizooo

astakafulaaahhhh...
 
jamani ni pepoooo au baradhuliiiiiiiiiiiiiiiiii....

sheria ichukue mkondo wake na liwe funzo kwa wale wote wenye hisia na tabia chafu kama hizooo

astakafulaaahhhh...

...labda hiyo niliyobold ndiyo aina ya mtu huyu aliyeamua bila kujizuia kumbaka malaika yule.
Inabidi watu kama hawa wafungiwe baruti ktk sehemu zao nyeti kisha walipuke kuziondoa kabisa maana hata wakihasiwa watasumbua tu!
 
Shekhe kama hujajua kuwa makalio yanavutia fanya sensa ndogo jijini. Angalia mwanaume anapopishana na mwanamke hugeuka kuangalia nini yake?

Hahahaha kweli mkuu umenena.
Kuna siku nilikuwa nimekaa na dada mmoja anamaumbile makubwa nyuma yaani makalio mugongo kuna wazee flani walikaa pembeni yaani toka anafika nilipo kaa mimi wao jicho tu kwake nikinyanyuka kwenda toilet wazee wale wanamwomba contacts. Dah nilichoka tunaondoka kupita sehemu jamaa nako kumbe walisha mwona nikakuta mtoto mdogo katumwa analeta kimemo kwa yule dada nazo contacts.....duh nilinyosha mikono mkuu.
Na kila tukipishana na wanaume lazima wageuke wanaangalia nyuma waliko toka.
 
...Mkuu
mi nakwambia hata kibibi kikongwe kikwekwe kiajuza kikipita kitaa halafu kuna kibinda inaning'inia kwa nyuma WALUMENDAGO lazma watageuka tu kumtukuza.
 
Huyo mtoto nae kachokoza?

..mtoto ni kesi nyingine
mie nimesemea mijimama inayokwarwekwa na mibunduki ya bure inayojazana ktk daladala-pongo za bongo.
kuhusu huyu mtoto nimetoa maoni yangu kama unaweza kutokuwa mvivu wa kusoma pitia post zangu zooote ktk thread hii.
sante san
 
...Mkuu
mi nakwambia hata kibibi kikongwe kikwekwe kiajuza kikipita kitaa halafu kuna kibinda inaning'inia kwa nyuma WALUMENDAGO lazma watageuka tu kumtukuza.

Mkuu sijui wanaume tunavutiwa na nini kwenye wowowo hebu nipe siri ya hii kitu maana wowowo limekuwa kama sumaku kwa mwanaume.
 
Mkuu sijui wanaume tunavutiwa na nini kwenye wowowo hebu nipe siri ya hii kitu maana wowowo limekuwa kama sumaku kwa mwanaume.

...Jibu ni rahisi mno.
Huwezi kuipenda FEDHA kama hujawahi kuifehem na kuitumia. manufaa ya hela ndiyo yanayotutoa jasho kuifukuzia. Umenifehem hapo?
 
Ni jambo la kusikitisha na kustaajabisha sana! sijui jamii hii inaelekea wapi maana hata wanyama wasio na akili wala utashi hawatendi hivyo! nadhani ni muda muafaka wakuweka maombi maalum kwa ajili ya jamii nzima ili iweze kumrudia Mwenyezi Mungu ipate kumpenda, kumtii na kumtumikia hizi zote ni dalili za watu kukata tamaa ya maisha ya hapa Duniani na kule Mbinguni mtu wa namna hii kwa vyovyote vile atakuwa yuko nje ya ubinadamu wa kawaida!
 
Huyo mtu aliyejaribu kubaka hawezi kuwa na akili timamu

mh jamani si tu hana akili timamu, mi nadhani na mambo ya ushirikina pia yanahusika, yaani sipati picha ndani ya daladala na umati huo wote hata asipate woga?? na huyo jirani yake kitini alikuwa kalala nini? maana purukushani ya kubaka nayo si ndogo! makubwa haya dunia imefika mwisho
 
Nadhani Dr. Silaha ni Mzalendo tu! kiasi ambacho sote tunapaswa kuwa!
Hii ni nchi yetu wenyewe ambayo mwenyezi Mungu ametujalia kuzaliwa kwayo hivyo hatunabudi kwanza kujiendeleza kielimu ili tuweze kuijenga nchi yetu wenyewe kwa kutumia maliasili tuliojaliwa na Mwenzi Mungu.

"Human Resource Development" Katika nchi yetu haikwepeki hata kidogo katika dunia ya leo maana kila maendeleo sawia na endelevu yahitaji sayansi na tekinolojia yenye utafiti endelevu! kitu ambacho kwetu ni tofauti, Tumewaachia wachache wenye elimu kidogo wasio wazalendo kutumia ujinga wetu kujinufaisha wenyewe na marafiki zao kwa kufuja maliasili zetu kwa visingizio lukuki bila kujali hatma ya kizazi kijacho na kilichopo.

Ni hatari sana kuongoza nchi bila dira na mikakati ya kutimiza matamanio ya wananchi yanayoongozwa na michakato ndani ya DIRA!

Baba wa Taifa Mwalimu nyerere alianza kutuandaa kuwa na mwelekeo/DIRA kama ifuatavyo:- Ili tuendelee tunahitaji watu siasa safi na Uongozi Bora na kwamba maadui wetu wkubwa katika maendeleo ambao tunahitaji kupambana nao usiku na mchana ili tupate maendeleo ni umaskini, ujinga na maradhi! hivyo ni vyema tungeendeleza juhudi za mwalimu za kupambana na ujinga kwakuweka mkazo mkubwa zaidi katika kuwapa elimu BORA watanzania mambo mengine kwa sasa yangekwenda vizuri badala yake ....! Naomba wenzangu mchangie maana mimi sioni kama kunajuhudi mahususi zinafanyika kutoa elimu bora kuendana na mahitaji tuliyonayo ukiangalia mifumo yetu ya Elimu!

Tutangulize Uzalendo katika kila jambo!
 
..wewe ni miongoni mwa wachache wanaotambua na kujua ukweli huo.
nakuunga mkono kuwa tutangulize uzalendo kwanza maana hata haya ya kubaka vitoto yatapungua endapo wananchi watajifunza kuwa wazalendo na kuipenda nchi yao pamoja na kulilinda taifa la kesho
 
Kwa kweli ni mgonjwa wa akili - inabidi asaidiwe - Mungu huwa anaepusha sana kwani labda angeweza hata kuchukua kisu akamchinja mtu live mbele ya watu - inabidi watu wenye ndugu/marafiki wagonjwa wa akili wawasaidie - wasiwaache wakazunguka zunguka - once you see a person you know acting awkwardly - yaani kama sio mtu wa kawaida - usichukulie mzaha au kupuuza - msaidie otherwise ndie wanafanya matukio ya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom