Hatari! Mtoto kabakwa ndani ya daladala

Hatari! Mtoto kabakwa ndani ya daladala

Unajua hawa jamaa wako wengi sana, afu wamejipa majukumu tofauti: 1) Wazee wa Chaji...hawa kazi yao ni kubashia wamama waliojaliwa ma.... kwenye madaladala, mara nyingi mtawakuta katika vituo vya mabasi yanayojaza sana kama Mbagala, Gombo la Mboto na Hata Makongo. 2) Wazee wa Mdadi...hawa bwana kazi yao kubwa hubashia wanaume wenzao tena hawa ndo mfano wa hilo lipungua lililotaka kubaka afu wakati mwingine hujifanya vibaka lakini wala shida yao ni hiyo. 3) Wazee wa wese...hawa ndo specialists hutembea na dhana kama mafuta ya vaseline kwani hawaoni taabu kumchomoa kaptain na kupiga bunduki. Hawa huwa hawapendi kubashia au kupata chaji kama wanasema wenyewe ila hutaki vyombo live. Hutembea na viwembe professional kama vile vya vibaka yaani ukichelewa tu wamekuchafua, uzuri wake ni kuwa wakifanikiwa kugusa ngozi tu basi washamaliza kazi. 4) Wazee wa Mtungo....hawa jamani wako sana uswazi, vijana wa makundi au wahuni.. ukimkatalia mmoja wapo basi bora uachane na mambo ya wanaume maana wanauwezo wa kukodi mtu kutoka mtaa wa pili aje kukutia mkononi.

Mimi nasema tatizo sio kukosa wanawake ila tabia zao mbaya tu kwa kuwa wamelelewa hivyo....wakati mwingine wazazi tuangalie na nyumba zetu hizi. Sitaki kuongeza ila tukumbuke watoto wetu huwa hawalali kusikiliza ya usiku chinde chonde mnatengeza matatizo mbeleni...
 
This is the end of innocence, hata kumpa msafiri aliyeketi mtoto wako akushikie inakuwa makosa.

Tutashindwa hata kuomba maji njiani.Dunia inabadilika.
 
Hiki ni kiama. Hata ka binti ka miaka mitatu kinawapa watu mifadhaiko? Kwa kweli dunia imefika pabaya. Inabidi iwepo siku moja ya maombi kuliombea taifa. Kila mtu aombe kwa imani yake.
 
Huyo mtu aliyejaribu kubaka hawezi kuwa na akili timamu

Mkuu, if you think that way you'll never hold them responsible. These are hooligan boys very mentally ok. Let the him face the law
 
Hiki kijeba kilikuwa na ukame gani kulaleki?
yaani jamaa mpaka anatembea na mafuta ya vaseline? imenikumbusha wazee wa kisiwani pemba wanatembea na viberiti wameweka vinyesi wakinusa nusa kupandisha stimu....

.....tabia mbaya sana.....sasa hapa utawasikia polisi eti uchunguzi bado unaendelea....

Huyo nitabia yake mkuu, siunaona mkaka vaceline anatembea nayo. Kunahaja gani ya vaceline kwa mkubwa mwenzie?? huyo mkuu nikatabia kake kuharibu watoto
 
hiyo mifadhaiko ya akili ipo kwa wanaume tu? mie naona sio mfadhaiko wa akili ila ni tamaa tu. apelekwe jela kwa kosa la kubaka miaka 30.
 
Jana sikupata kuona taarifa ya habari saa mbili. Ila nimepewa taarifa kwamba miongoni mwa habari zilizoonyeshwa, moja ilihusu ubakaji uliotaka kufanyika au uliofanyika kwenye daladala ya Makongo kwenda Mwenge jana.

Nilivyoelezwa ni kwamba basi lilikuwa limejaa sana, mama mmoja alikuwa na mtoto wa kike (umri sijui), baba aliyekuwa karibu alijitolea kumsaidia yule kumpakata yule mtoto wake kwa vile yeye alikua ameketi. Baada ya muda yule mtoto akaanza kupiga kelele na kulia kutahamaki jamaa alikuwa katika harakati za kumbaka yule mtoto aliyekuwa amembeba. Basi likasima na kumkagua jamaa na kumkuta na mafuta ya vaseline ambayo aliyatumia kwa shuguhuli ya ubakaji! Alipelekwa kituo cha polisi mwenge na labda atapelekwa mahakamani kwahatua zaidi za kisheria.

Jambo ambalo sijaelewa je alifanikiwa kumbaka huyu mtoto?

Nimeshtushwa mno!



Nadhani hapo umekosea kidogo MAKONGO hawana daladala labda ungesema daladala ya kutoka mbezi kwenda mwenge!!
 
This is the end of innocence, hata kumpa msafiri aliyeketi mtoto wako akushikie inakuwa makosa.

Tutashindwa hata kuomba maji njiani.Dunia inabadilika.

Tunaelekea katika mafunzo ya kizungu sasa! Zamani tulikuwa tunaambiwa - kacheze lakini usile kwa watu! Leo tunaanza! Don't talk with a stranger! Don't be friendly to people you don't know! Don't sit on your uncle lap!
 
hiyo mifadhaiko ya akili ipo kwa wanaume tu? mie naona sio mfadhaiko wa akili ila ni tamaa tu. apelekwe jela kwa kosa la kubaka miaka 30.

Tunatakiwa tuwaelewe hawa! kuwafunga haisaidi. Hosipitali za akili zisome haya matukio na kutupa majina ya tabia hizi! Ili tujui tunapambana na nini!
 
Nadhani hapo umekosea kidogo MAKONGO hawana daladala labda ungesema daladala ya kutoka mbezi kwenda mwenge!!
hizo dala dala zipo ndugu yangu.Makongo juu kwenda mwenge.
 
kama mafuta ya vaseline kwani hawaoni taabu kumchomoa kaptain na kupiga bunduki.

Mkuu kuna mengine yanaitwa KY yapo sana kwenye maduka ya dawa kuna baba mmoja anatembea nayo kweny mfuko wa shirt yeye ni wake za watu tu ndo anawafanyia lakini kwa makubaliano maalumu.
 
hizo dala dala zipo ndugu yangu.Makongo juu kwenda mwenge.

Watu wa magolofani utawajua tu imradi tu kabisha atazijulia wapi daladala za Makongo kuja Mwenge zinapitia chuo cha ardhi na Mlimani city pale.
 
Mimi pia nilishawahi kuona live kwenye Bus (daladala) la kutoka Ubungo kwenda Gongo la Mboto. Bus lilikuwa limejaza sana abiria jamaa mmoja kambana binti mmoja na bila aibu jamaa kafungua zipu yake na kutoa bunduki yake. Baada ya muda mwanadada akalowanishwa makalioni na mbegu zingine zikandondoka karibu yangu maana mimi nilikuwa nimekaa. Baada ya jamaa kugundua kuwa mdada kashtuka, akamwomba konda amshushe uwanja wa ndege na abiria wakawa wamepungua mdada kalowana kabaki kusema "Lol!, Nilikuwa nasikia tu haya mambo, leo imenitokea mwenyewe". Wanaume tuliona aibu kwelikweli.

Unavyosema ni kweli ndungu yangu hata mwezi uliopita kuna binti kaja darasani akitokea Tabata kuja chuo fulani hapa karibu "whitehouse" nilipo mie alikuwa amechafuliwa kabisa suti yake lakini anasema yule bwana alishambuliwa sana na abiria hadi alivyofika mnazi mmoja akashuka kwa aibu na anasema alikuwa mtanashati. Kwa haya ina bidi kaka zetu mjitahidi kudhiti huyo mfaidhaiko maana itafikia mahali mwanamme akifanya hicho kitendo ndani ya express (daladala) atapewa adhabu kama wanayopewa vibaka
 
Ni aibu, ila kuna upande mwingine kuna jamaa walishafanya vitu kama hivyo baada ya kuzidiwa kwenye mtihani (i.e. jamaa huyo baada ya kuona sasa hataweza kufaulu akajkta hali hiyo inatokea). Nadhani hili tatizo inawezekana linasaikolojia yake inayohitaji watalaam kama wapo wanaweza kuongea lolote.
 
Jolly labda gharama itamshinda buku 10 mpaka 15 kulala short time buku 3-5......hata Burujinai au Sokota-tandika jero tu.......puuuzi sana jizee hili..

Duu so cheap Yoyo, sasa wakija jamaa toka ugaibuni siwatawamaliza wote maana hapa escote £ 150 kwa saa kulala £ 600. Local hookers £ 30 - £ 50 for 30min (nusu saa).
 
I got it that huyu jamaa ni Mwandishi wa Habari (Freelance)!
 
Mambo ya mfadhaiko wa nanino hayo 🙁. Inanikumbusha ile kesi ya jamaa pale TANESCO aliyekuwa kasimama kwenye mstari ili kulipa bill halafu kuna mwanamama mbele yake alikuwa na wowowo si la kawaida, basi jamaa akamsogelea kama vile katika harakati za mstari uliobanana kumbe katoa dudu yake na kufanya madhambi yake. Yule baba alimchafua yule mama na alipoulizwa kulikoni akadai ni "mfadhaiko wa akili". Haya mambo yako sana kwenye mabasi hasa yanapojaa kupita kiasi watu hushughulika bila hata aibu. Pia yapo sana kwenye Treni za abiria mijini huko Japan na India. Nasikia Japan sasa hivi kuna mabehewa ya wanawake pekee yao ili kuwakinga na wale wenye mfadhaiko wa akili maana huko wanashika mpaka matiti kwa kisingizio cha kubanana.

..naikumbuka kesi hii ambapo ndo nilikuwa naota magego ya kwanza kipindi kile.
huyu jamaa alikuwa ni PROFESA kutoka Zambia, na alipoulizwa alikuwa anafuata nini pale akasema alikuwa anataka kucompare bill za umeme za zambia na bongo. Utetezi wa kijinga mno kwa msomi kama yule. ila kwa kuwa enzi hizo hakukuwa na wadadisi kwa majibu mepesi kama hayo nadhani kesi haikuwa na jipya zaidi ya kuishia kimya kimya. Labda usijekuta yule mama aliyekutana na dhamana alikuwa ni jirani yake and jamaa akawa anamfuatilia kwa uchu mpaka alipojistukia akipanga foleni ya tanesco bila kupenda.
 
Mimi pia nilishawahi kuona live kwenye Bus (daladala) la kutoka Ubungo kwenda Gongo la Mboto. Bus lilikuwa limejaza sana abiria jamaa mmoja kambana binti mmoja na bila aibu jamaa kafungua zipu yake na kutoa bunduki yake. Baada ya muda mwanadada akalowanishwa makalioni na mbegu zingine zikandondoka karibu yangu maana mimi nilikuwa nimekaa. Baada ya jamaa kugundua kuwa mdada kashtuka, akamwomba konda amshushe uwanja wa ndege na abiria wakawa wamepungua mdada kalowana kabaki kusema "Lol!, Nilikuwa nasikia tu haya mambo, leo imenitokea mwenyewe". Wanaume tuliona aibu kwelikweli.

...Halafu unaweza kusimama proudly kusema unapiga vita uhalifu wa kifisadi wakati kumbe ulimwona mhalifu halafu ukamwacha ashuke?? watu kama nyie mkiwa karibu yangu NAZABA kofi la uso uzinduke....
 
Back
Top Bottom