Jana sikupata kuona taarifa ya habari saa mbili. Ila nimepewa taarifa kwamba miongoni mwa habari zilizoonyeshwa, moja ilihusu ubakaji uliotaka kufanyika au uliofanyika kwenye daladala ya Makongo kwenda Mwenge jana.
Nilivyoelezwa ni kwamba basi lilikuwa limejaa sana, mama mmoja alikuwa na mtoto wa kike (umri sijui), baba aliyekuwa karibu alijitolea kumsaidia yule kumpakata yule mtoto wake kwa vile yeye alikua ameketi. Baada ya muda yule mtoto akaanza kupiga kelele na kulia kutahamaki jamaa alikuwa katika harakati za kumbaka yule mtoto aliyekuwa amembeba. Basi likasima na kumkagua jamaa na kumkuta na mafuta ya vaseline ambayo aliyatumia kwa shuguhuli ya ubakaji! Alipelekwa kituo cha polisi mwenge na labda atapelekwa mahakamani kwahatua zaidi za kisheria.
Jambo ambalo sijaelewa je alifanikiwa kumbaka huyu mtoto?
Nimeshtushwa mno!