Hatari lakini salama :je ni wapi?

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,775
Reaction score
2,389
Kwa wale ma-Vasco Dagama kama mimi, nilipanda hili feri roho juu(linachota maji badala ya ku-glide)
Wapi hapa?
 
Hapo miye nouma, heri kuogelea.
Tanganyika huko ni lazima!
 
hapo ni ziwa Jipe....., mpakani mwa kenya na tanzania...... kule KILIMANJARO
 
mto kilombero huu , hapa kucheka ndani ya kivuko kitazama , nyote maco mbelee, na kelee marufuku
 
Ukiisave picha yako inaonyesha kuwa ni Mahenge..... ungeedit hata jina tusijue...
 
mto kilombero huu , hapa kucheka ndani ya kivuko kitazama , nyote maco mbelee, na kelee marufuku
Sawa kabisa mkuu, hapo ni mto Kilombero, na hicho kivuko ni kile cha zamani.
Kilikuwa hatari sana na kama bado kipo sipandi.
 
Hii ni hatari moja kwa moja hamna usalama hata chembe ndani yake. Soon huko tutatangaza tume ya kuchunguza maafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…