Edson Zephania
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 517
- 112
B.w.e.g.e tu
Sio ya Riz1 maana na yeye anatuma vijana watake kumtoa m/kiti wtu wa uvccm mkoa wa ArushaNakubaliana na Prof Kikula, hizo habari ata mimi nimezisikia kutoka kwa mwanafunzi mmoja ambae kasimamishwa chuo! Inasemekana ni maagizo kutoka kwa Lema
ndugu acha unafiki hakukuwa na mabomu hacheni kutuchafua wanaUDOM. Kikula anatafuta namna ya kujisafisha na kujitetea kwa uma siku zote ukweli utabaki ukweliNakubaliana na Prof Kikula, hizo habari ata mimi nimezisikia kutoka kwa mwanafunzi mmoja ambae kasimamishwa chuo! Inasemekana ni maagizo kutoka kwa Lema
acha utoto,kama walitaka kufanya hivyo kwa nn wasikamatwe?kila mtawala tz anafanya kazi kwa hisia pasipo elimu zao hilo ndo tatizo kubwa sana,pia kwa kupenda umbeya wanaongoza.wajue nchi itawashinda kwa undumilakuwil wao.Nakubaliana na Prof Kikula, hizo habari ata mimi nimezisikia kutoka kwa mwanafunzi mmoja ambae kasimamishwa chuo! Inasemekana ni maagizo kutoka kwa Lema
Wewe na Prof. Kikula nani mtoto? Yaani mtu kupata taarifa kuwa wanafunzi walitaka kulipua chuo ni utoto? Acha upofu wa ufahamuacha utoto,kama walitaka kufanya hivyo kwa nn wasikamatwe?kila mtawala tz anafanya kazi kwa hisia pasipo elimu zao hilo ndo tatizo kubwa sana,pia kwa kupenda umbeya wanaongoza.wajue nchi itawashinda kwa undumilakuwil wao.
rudi shule kasome maana ya utoto na upofu mbweha we,kaul bila hatua ya vyombo vya usalama n unafik.achen ushoga fanyen kazWewe na Prof. Kikula nani mtoto? Yaani mtu kupata taarifa kuwa wanafunzi walitaka kulipua chuo ni utoto? Acha upofu wa ufahamu
Nakubaliana na Prof Kikula, hizo habari ata mimi nimezisikia kutoka kwa mwanafunzi mmoja ambae kasimamishwa chuo! Inasemekana ni maagizo kutoka kwa Lema
Jana ktk taarifa ya habari ya radio mwangaza ya saa 1 usiku nilimsikia Prof. Kikula akiwaambia wakuu wa wilaya waliokuwa wametembelea chuo hicho kuwa wanasiasa wasimshinikize kuwarudisha wanafunzi hao kwani anazo taarifa kuwa walitengeneza mabomu ya petroli ili kupambana na Polisi endapo wangekwenda kuwatawanya kwa nguvu hivyo kungepelekea chuo kulipuliwa na kuwaka moto.